Hakuna kipindi kizuri ambacho warembo hawasumbui kuja kuchukua pesa geto kama hiki cha kukaribia Xmas na mwaka mpya kuendelea hadi mwezi wa March.Wadau kama kichwa kinavojieleza hapo juu,hali yangu si nzur kiuchumi hivo naombeni mbinu mujarabu za kupangua mizinga kutoka kwa kinadada mana nikiwachekea naweza nisiione january.Kila baada ya masaa 2 ni mizinga tu mara hiki mara kile,ukiwaambia waje kuchukua gheto hawataki!! Nawasilisha mada!
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie straight unataka nini. kunyimwa sio kukatwa shingo. ukinyimwa tembeza kiatu katafute mwingine, wasichana sio 12 kama disciples wa yesu.
Tatizo hawataki niwachakate papuchi zao! Ila kuna mmoja huyo nahisi kaniloga,mana kila akiomba pesa nampa ila nikigusia penzi anachomoa! Et yuko busy!.Saiv nimeplan akiomba simpi namuitikia tu sawa ila situmi hata 100 japo nnayo!mbona ushaweka mbinu tayar ya kukwepa hivyo vizinga.waambie wakufuate huko gheto ambako hawataki, hawatakuja, problem solved.
Du! Labda nnamkosi.[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kipindi kizuri ambacho warembo hawasumbui kuja kuchukua pesa geto kama hiki cha kukaribia Xmas na mwaka mpya kuendelea hadi mwezi wa March.
Labda kwako tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Probability ya kupewa unapotoa pesa ni kubwa mkuu.
Humtakii mema mbabaToa pesa mzee....
hujalogwa wewe.Tatizo hawataki niwachakate papuchi zao! Ila kuna mmoja huyo nahisi kaniloga,mana kila akiomba pesa nampa ila nikigusia penzi anachomoa! Et yuko busy!.Saiv nimeplan akiomba simpi namuitikia tu sawa ila situmi hata 100 japo nnayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona nakua mwepesi kutoa noti? Nipo radhi nisile kuku siku hiyo!hujalogwa wewe.
ukiona unaweza kuhis kama umelogwa hicho ni kipimo tosha kuwa hujalogwa.
ukilogwa kwel, hata nani akwambie umelogwa hutakubali.
Probability ya kupewa unapotoa pesa ni kubwa mkuu.
Nikuambie tu...wanawake hawapendi pesa wanapenda usichokuwa nacho.
Mkuu ushawekwa benchi,[emoji23][emoji23][emoji23]. Nlichogundua madem wa dizain hii wanawatu wao special wa kuwakaza! Akina sie tunaotoa pesa tunachunwa tu,tena yawezekana ukimpa pesa nae anaenda kuhonga! Niwe mkwel tu,nadhani nikiwa bwii(ulabu) ndo wananifaid sababu nakua na roho ya huruma! Nlichoamua saiv sitoi hata mia kwa dem ambae anajifanya yuko busy! Narudia tena sitoi cent 100.formula yangu mpya kama sijala cwez hudumia na nikihudumia sitaki mzinga zaid ya 20! Akitaka zaidi namwambia tufunge ndoa uwe mke nikupe kila utakacho.ovadaaaah pole sana spark kwasasa wadada wamekua changamoto sana yani kushusha sketi imekua ni shida sana wanapenda sana kuomba mkwanja harafu kutoa papuchi imekua shida jana tu nimetoka kuzinguana na demu anadai anataka laki 5 kwaajili ya nguo za skukuu aiseee nikichek kwa walet yangu nina kama buku 3 na sijaona njia yoyote ambayo naweza nikapata nimepangia bajet hiyo hela nataka inifikishe hata juma pili angalau nitakua nimepata hela nyingine nilichomwambia huyo demu imefikia hatua nikipiga simu yake mda wote inatumika naona atakua anawasiliana na wazazi wake ili wampatie hiyo hela kwanza aliniambia kua hawezi nipa chini hadi nimuoe nikamuuliza vip bado ana usichana wake akanijibu hapana nikamuuuliza ameshaolewa na aliye utoa usichana wake toka nimemuuliza hilo swali hadi sasa toka jana majila ya saa nane mchana simu iko bizzy mda wote
ndege mjanja akishakutana na tundu bovu halaf akalidharau basi ndivyo inavyokuaga.Sasa mbona nakua mwepesi kutoa noti? Nipo radhi nisile kuku siku hiyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Du![emoji51][emoji51][emoji51]ndege mjanja akishakutana na tundu bovu halaf akalidharau basi ndivyo inavyokuaga.