Master20
New Member
- Oct 4, 2024
- 4
- 8
Ndugu yangu leo nimeamua kukuletea mbinu nne za kumpata mwanamke yeyote unayempenda bila hata kumtamkia kama unampenda.
twenzetu!!
1. Mpe hela
2. Mpe tena hela
3. Endelea kumpa hela
4. Endekeza hivyo hivyo kumpa hela
ukipita mwezi hajakukubalia
niite mbwa!!
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
twenzetu!!
1. Mpe hela
2. Mpe tena hela
3. Endelea kumpa hela
4. Endekeza hivyo hivyo kumpa hela
ukipita mwezi hajakukubalia
niite mbwa!!
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐