Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute kwa simu yangu Chief.umeeleza vizuri sana, nimejaribu mara 2-3 kuomba ufadhiri nimekuwa nikijibiwa kwa email (wana watu wengi na pesa hazitoshi)
umenipa mwanga zaidi, ila mi mradi wangu nataka tuwe watu 2-4 tufanye kilimo je? kuna haja ya kusajili ngo"s
Taja bei MkuuKaribuni Sana kwa Huduma Wakuu.
Acha kukatisha watu tamaa bado fund zipo nyingi tu ukijua namna ya kuzipata.NGOs zilikuwa zamani enzi hizo kwa sasa muelekeo umebadilika sana tena mno. NGOs kubwa zenyewe kwa sasa zinalia ukata.
Halafu wazungu kutokana na Ufisadi wana trust NGOs zenye root kutoka kwao.
NGOs ndogo ndogo hizi hawaziamini kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
TafaKwanza inategemea, unaomba fedha kwa ajili ya mradi wa size gani, (Innovative, medium or strategic?), pia upatikanaji wa taarifa za awali katika eneo la utekelezaji wa mradi (Tayari umeshafanya research ukaweza kupata rationale na justification ya tatizo au hiyo yote nitaifanya mimi?) Kimsingi gharama zangu ni ndogo sana, nitafute kwa namba hiyo hapo juu kwa maelezo marefu zaidi.
Thanks
Mkuu naomba mbinu za kupata fundAcha kukatisha watu tamaa bado fund zipo nyingi tu ukijua namna ya kuzipata.