Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

umeeleza vizuri sana, nimejaribu mara 2-3 kuomba ufadhiri nimekuwa nikijibiwa kwa email (wana watu wengi na pesa hazitoshi)

umenipa mwanga zaidi, ila mi mradi wangu nataka tuwe watu 2-4 tufanye kilimo je? kuna haja ya kusajili ngo"s
 
NGOs zilikuwa zamani enzi hizo kwa sasa muelekeo umebadilika sana tena mno. NGOs kubwa zenyewe kwa sasa zinalia ukata.

Halafu wazungu kutokana na Ufisadi wana trust NGOs zenye root kutoka kwao.

NGOs ndogo ndogo hizi hawaziamini kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafute kwa simu yangu Chief.
 
NGOs zilikuwa zamani enzi hizo kwa sasa muelekeo umebadilika sana tena mno. NGOs kubwa zenyewe kwa sasa zinalia ukata.

Halafu wazungu kutokana na Ufisadi wana trust NGOs zenye root kutoka kwao.

NGOs ndogo ndogo hizi hawaziamini kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukatisha watu tamaa bado fund zipo nyingi tu ukijua namna ya kuzipata.
 
Kwanza inategemea, unaomba fedha kwa ajili ya mradi wa size gani, (Innovative, medium or strategic?), pia upatikanaji wa taarifa za awali katika eneo la utekelezaji wa mradi (Tayari umeshafanya research ukaweza kupata rationale na justification ya tatizo au hiyo yote nitaifanya mimi?) Kimsingi gharama zangu ni ndogo sana, nitafute kwa namba hiyo hapo juu kwa maelezo marefu zaidi.

Thanks
Tafa
 
Back
Top Bottom