Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

Asante kwa uchambuzi mzuri na maelezo yako yaliyonyoka
 
umeeleza vizuri sana, nimejaribu mara 2-3 kuomba ufadhiri nimekuwa nikijibiwa kwa email (wana watu wengi na pesa hazitoshi)

umenipa mwanga zaidi, ila mi mradi wangu nataka tuwe watu 2-4 tufanye kilimo je? kuna haja ya kusajili ngo"s
 
NGOs zilikuwa zamani enzi hizo kwa sasa muelekeo umebadilika sana tena mno. NGOs kubwa zenyewe kwa sasa zinalia ukata.

Halafu wazungu kutokana na Ufisadi wana trust NGOs zenye root kutoka kwao.

NGOs ndogo ndogo hizi hawaziamini kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeeleza vizuri sana, nimejaribu mara 2-3 kuomba ufadhiri nimekuwa nikijibiwa kwa email (wana watu wengi na pesa hazitoshi)

umenipa mwanga zaidi, ila mi mradi wangu nataka tuwe watu 2-4 tufanye kilimo je? kuna haja ya kusajili ngo"s
Nitafute kwa simu yangu Chief.
 
Acha kukatisha watu tamaa bado fund zipo nyingi tu ukijua namna ya kuzipata.
 
Tafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…