Mbinu za kupata tiketi za ndege kwa bei rahisi. Prove me wrong!

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅

2. Usikate kipindi cha sikukuu✅

3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia

4. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni

5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
 
Ndio ilivyo. Nimeitumia sana hii njia wakati wa fast jet ila ndio unatakiwa kuwa makini sana hasa kwenye hiyo ya kukata mwezi mzima maana siku ikifika lazima usafiri.

Na hapo kwenye timing usitumiwe sms ya offer mda huu ukasema nitakata baadae, kwa ndege baadae hukuti hiyo offer ni hapo hapo na offer huwa ni ya mda maalumu e.g Saba mchana
Ukiondoa kuwahi ndege sio usafiri rafiki treni ni best sana kwangu Mimi.

Next month naenda Berlin hope nitapata offer japo ni msimu wa siku kuu.
 
Kwa bongo ndege ndo best labda ujio wa SGR utabadili mambo
 
1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅

2. Usikate kipindi cha sikukuu✅

3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia

44. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni

5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
4
Hakuna raisi via agent
Agent anapata tkt toka kwa airline dir
We nenda kwenye airline dir ongea na wale wadada ama kaka wauza tkt

Watakusaidia kila kitu

Ukishataja agent ana cha juu toka main airline husika
 
ao air dir wana website au had uende physical
 
Namaanisha airline direct ukinunua kwao n rahisi zaidi kuliko kupitia agent ..yeye ana cha juu ili apate faida
kwamba anakupiga hela zaidi ya ile iliyoko kwene mfumo!!
sijajua mkuu ila hawa naonaga wana jua hata bei za ofa ambazo hazipo kwene mtandao
 
kama n msafir wa mara kwa mara kanunue tkt kwenyee airline husika ukilipa jitahidi mara moja moja kuwaachia chenji wale wakata tkt

hapo ukienda nxtytym unachukua namba zao kama wawili watatu

usiwatongoze wambiee kukiwa na ofa mnishtue watakuwa best wakoo mpaka utakapokufa kama sio angani basi nchikavu
 
Hii nayo nimeipenda
 
1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅

2. Usikate kipindi cha sikukuu✅

3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia

4. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni

5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
Huu wote ni umaskini tu. Panda t7 Bus usitafute sifa.

Yaaninunalazimika kusubiri Safari mwezi mzima upate za bei nafuu?
 
kwamba anakupiga hela zaidi ya ile iliyoko kwene mfumo!!
sijajua mkuu ila hawa naonaga wana jua hata bei za ofa ambazo hazipo kwene mtandao
Agent
Woteeeee wanakupiga cha juu mkuu
Kama uaminini nenda kanunue economy class (y) kwa airline office alafu jisogeze kwa agent ulizia tkt ile ile sh ngapi
 
Back
Top Bottom