Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅
2. Usikate kipindi cha sikukuu✅
3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia
4. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni
5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
Kila ktu kina faida na hasara
Ukikata ticketi ya promotion, usiposafiri hela yako yote imepotea.....
Ukikata ticket ya kawaida, usiposafiri tarehe husika; unaweza kuitumia tena kwa safari nyingine kwa kulipia kidogo tu