technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nishaka
Uko sawa hapo kwenye kukata mwezi mmoja kabla!!
Twendeni tukale mbuzi!!!
Nishakata tiketi yangu ya kwenda KIA December 21 na return 2 January1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅
2. Usikate kipindi cha sikukuu✅
3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia
4. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni
5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
Uko sawa hapo kwenye kukata mwezi mmoja kabla!!
Twendeni tukale mbuzi!!!