Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Kwa bongo ndege ndo best labda ujio wa SGR utabadili mamboNdio ilivyo. Nimeitumia sana hii njia wakati wa fast jet ila ndio unatakiwa kuwa makini sana hasa kwenye hiyo ya kukata mwezi mzima maana siku ikifika lazima usafiri.
Na hapo kwenye timing usitumiwe sms ya offer mda huu ukasema nitakata baadae, kwa ndege baadae hukuti hiyo offer ni hapo hapo na offer huwa ni ya mda maalumu e.g Saba mchana
Ukiondoa kuwahi ndege sio usafiri rafiki treni ni best sana kwangu Mimi.
Next month naenda Berlin hope nitapata offer japo ni msimu wa siku kuu.
mbona mkuu nimeweka option zaidi ya moja!!Tafuta hela tu ndugu,sasa umefiwa na mtu wako wa karribu huo muda wa kureserve utautoa wapi ,labda kama ni planned vacation sawa
Kama siendi mwanza maeneo mengine napanda basi Ile take off nimeshindwa kabisa kuizoeaKwa bongo ndege ndo best labda ujio wa SGR utabadili mambo
41. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅
2. Usikate kipindi cha sikukuu✅
3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia
44. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni
5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
Tatizo ashawahi panda ndegembona mkuu nimeweka option zaidi ya moja!!
Kama hauko interested na ticket za bei chee bas huu uzi kwako hauna msaada.
kweli kweliTatizo ashawahi panda ndege
ao air dir wana website au had uende physical4
Hakuna raisi via agent
Agent anapata tkt toka kwa airline dir
We nenda kwenye airline dir ongea na wale wadada ama kaka wauza tkt
Watakusaidia kila kitu
Ukishataja agent ana cha juu toka main airline husika
Sijisikii vizuri nikisoma halafu nikakuelewa😔 huyu sie pdidy4
Hakuna raisi via agent
Agent anapata tkt toka kwa airline dir
We nenda kwenye airline dir ongea na wale wadada ama kaka wauza tkt
Watakusaidia kila kitu
Ukishataja agent ana cha juu toka main airline husika
Hahaha take off haizoeleki, inapepeta utumboKama siendi mwanza maeneo mengine napanda basi Ile take off nimeshindwa kabisa kuizoea
Namaanisha airline direct ukinunua kwao n rahisi zaidi kuliko kupitia agent ..yeye ana cha juu ili apate faidaao air dir wana website au had uende physical
kwamba anakupiga hela zaidi ya ile iliyoko kwene mfumo!!Namaanisha airline direct ukinunua kwao n rahisi zaidi kuliko kupitia agent ..yeye ana cha juu ili apate faida
panda ndege kubwa hata uwezi kuhisi kama ina take offHahaha take off haizoeleki, inapepeta utumbo
usiogope banaSijisikii vizuri nikisoma halafu nikakuelewa😔 huyu sie pdidy
Hii nayo nimeipendakama n msafir wa mara kwa mara kanunue tkt kwenyee airline husika ukilipa jitahidi mara moja moja kuwaachia chenji wale wakata tkt
hapo ukienda nxtytym unachukua namba zao kama wawili watatu
usiwatongoze wambiee kukiwa na ofa mnishtue watakuwa best wakoo mpaka utakapokufa kama sio angani basi nchikavu
Huu wote ni umaskini tu. Panda t7 Bus usitafute sifa.1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅
2. Usikate kipindi cha sikukuu✅
3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia
4. Uliza maagent✅
kua na namba za maagent tofauti tofauti kuna had tiket za 100,000/= ambazo uwezi kuzikuta mtandaoni
5. Cheki ndege zenye bei ndogo✅
Hapa mara nyingi kwa tz ni Precision Air, international ni Ethiopia
Agentkwamba anakupiga hela zaidi ya ile iliyoko kwene mfumo!!
sijajua mkuu ila hawa naonaga wana jua hata bei za ofa ambazo hazipo kwene mtandao