Mbinu za kupata tiketi za ndege kwa bei rahisi. Prove me wrong!

Nishaka
Nishakata tiketi yangu ya kwenda KIA December 21 na return 2 January

Uko sawa hapo kwenye kukata mwezi mmoja kabla!!

Twendeni tukale mbuzi!!!
 
Na kingine unaposema economy class kunakuwa na class kadhaa y.t...nk
Na bei tofauti

Ukiwa na best toka airline dir anakutafutia cheapest tkt ukijichanganya kwa agent anakupiga tkt ya juu ili na yeye apate faida kubwa

Kule economy mnaweza jazanaa hata 80 unakuta huyu kalpa 200000 yule 280000 yule 300000 mwingine 320000 hioo ndio ndege banaa

Bussiness ndio kabisaaa
 
Huwezi pande kubwa Kila mahali.
Mfano mzuri..
Bukoba
Dodoma
Kigoma
Klm
Tanzania ndege kubwa kiasi flani huanzia mwz to Dar au klm to Dar na sio mara zote.

Unapoongea jambo uzingatie mambo mengi utajirpusha na uropokaji
Mi siongelei mara zote mkuu,
Naongelea mbadala wa tatizo lake.
Akijua tatizo atajua namna ya kulisolve.
Kama hazipo bas aangalie option nzuri kwake hata kupanda bus😂😂😂usilazimishe vitu vilivokushinda
 
Ma Agent wanatengeneza hela nzur san tikect kwenye mfumo anainua kwa 160k ww anakuja kukuzia 200k

Ninae mshakaji wng hana ata ofisi ila anapiga hela balaa ticket anakukatia kwa simu yake tu kwa siku anatengeneza ata 150k kama faida kwa vichwa vyake vichache tu
 
Ni bongo tu usafiri wa ndege ndio anasa
 
Tena kwa ku edit tu basi wanaweka code zao mbele wanaweka kiasi cha difference imeisha hioooo
 
Kuwa agent unalipia??
 
N umasikini tu wa dunia

M dada yangu Jan analipa tkt ya familia UK dar UK

June...
Akirudi analipa mapema tkt ya Dec anaingia 21 anaondoka 8 Jan 2025[kama atakuwa haibado maana hayamagorofa mmh na anavyopenda kuzururaa balaa]

Una hela unaboook mapema kabisaa
 
sijawai ona ilioeditiwa labda kwakua nakata mtandaoni
Yaan we ukilipa ukaomba class flan system inaongeza gawio lao unspoken tkt poa kabisa

Lakini ukienda kununua kwa airline angalia zile code za tkt utakuta bei chini ile tofauti utaiona kwenye code hizo ndio faida zao wanastahili wanalipa code kadhaa vyumba vya ofisi..tra nk
 
Mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…