Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy

Ubarikiwe mkuu
 
Duh hiyo rost kweli? Au na wewe unajifunza!?
Hamnaa mkuu hiyo ni rosti ya mchuzi wa rojo.... simaanishi rosti ile ya kukaanda na mafuta...

Hii nilipika wiki kama nne zilizopita... leo nimepika hatar zaidi sema sikupiga tu picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…