Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,864
- 3,687
Mkuu maelekezo zaidi au ufafanuzi kuhusu hiyo no 14 pleaseNaongezea
9.lipa madeni yote Kama unadaiwa
10.Usijibebeshe Majukumu yanayokuumiza kwa mtu ambae hujamuoa
11.Punguza kula mgahawani pika mwenyewe chakula chako
12.Nunua Vyakula visivoharibika kwa Bei ya jumla Mfano mchele,mahindi,mafuta nk
13.Usiishi kwa mashindano Mfano kuvaa kila fashion
14.Punguza matumizi ya Bando na vifurushi kwa kununua vifurushi vya mwezi kwa kutumia pocket WIFi
15.Ongeza Part time job ukiipata
16.Mwisho Heshimuu kipato chako
Tungi vipi linaruhusiwa hapa?Naongezea

Habari za Jioni Mabro
Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake
Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana
Kuna kiwanda fulani nilikuwa nafanya kazi kipindi hiko baada ya kumaliza form four sasa kuna mtu nilipangiwa nae kufanya kazi pamoja alikuwa ni mtu mzima sana na katika stori za hapa na pale alinambia yeye anaishi na mkewe na wana mtoto mmoja anasoma shule ya msingi
Na sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi tulikuwa tunalipwa 5000 kwa siku na mshkaji anasema hiyo hiyo anasurvive vizurii tu na familia yake, analipa kodi ya chumba,mtoto anaenda shule na wanakula vizuri tu halaf mi kipindi hiko chalii nilirudi mtaani tu mshiko umeisha tayari kesho naamsha tena
Kaka nipe connection za kazi nipo mara
Mahindi yanaribika sana, ukienda kusanga UNGA wake mchungu, nayaona ukiwa ghetto utasanda labda Ile kibishi😁Naongezea