Mbinu za kutokuchepuka kwa karne ya 21 - 22

Mbinu za kutokuchepuka kwa karne ya 21 - 22

Sa mbona maandiko yanachanganya!???
Nasikia huko peponi hizo mambo ni za kumwaga, according to sheikh kipozeo eti ukifika peponi unapewa mizigo 40

Hakunaga Pepo ya hivyo Mkuu.

Kuwa na wanawake wengi ni dalili ya uroho, ulafi, na peponi hawaendi watu wa namna hiyo, wanaenda watakatifu
 
Huko ni Kujilisha Upepo tuu mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu Makanya Mkuu
Mkubwa inaonekana wapare mna karama katika Uandishi huwa nafuatilia sana mada zako na nnajifunza mengi
Kuna jamaa mmoja anaitwa Iddy makengo naye ni Mpare naye yuko vizur sana Kwenye Uandishi japo yeye amebase Kwenye mahusiano sana na mara chache maswala ya biashara
Mwingine ni Mshana nafkiri ww pia n mmoja ya watu wanao enjoy kupitia mada zake mbali mbali za Ulozi hapa jukwaani
 
Kwa nini lakini watu tunapenda utamu wa dhambi Mkuu
Wengi wa walio kwenye ndoa sio tu wanatoka bila sababu. Siku za mwanzo mwanzo ilikuwa akinuna hata kwa kosa lake,nilikuwa najishusha mimi ili tu nisichepuke. Nimeshawahi kuvumilia miezi miwili mke kanuna tu,anasubiri nijishushe,adhabu ya wanaume wengi ni kwenye hicho kidudu. Inafika mahala unaingia kulala,ni kama unaingia jehanum.
Wapo wengi wamejichanganya kwenye kuoa. Usione ndoa zilivyo nje,ndani huko ziko tabani. Ndoa nyingi ni mateso. Ndio maana mara nyingi nasisitiza kama hujaoa bora usioe milele,ili mradi ujitambue.
Wapo inafika kipindi wanapoteza hamu kabisa la tendo dhidi ya wenzi wao,ksbb tu ya kile wanachokipitia humo. Mtu anafikiria kwa nini aendelee kuwa mtumwa ili-hali uwezo anao, uwezo wa kila kitu. Muda mwingi ni kupata hata faraja. Yapo mengi mengi
 
Mh kuchepuka ni swala pana sana kiufupi mwanaume ni poligamy in nature, kwani mwanaume hutamani kwanza na baadae hupenda, hivo kwahali kama hii kuchepuka hakuzuiliki kwa kias flani. Tofauti na jinsia ya kike. Niwachache sana ninarudia niwachache sana kukuta ana pesa zake nzuri za kytunza familia na anabakiza akiwa hachepuki. Na wanaojiita hawachepuki sababu inaweza kua kipato na si wasafi kivile
 
Huyo Mfalme Daudi unaweza usimkute peponi kama vile Musa alivyotoswa na Mungu kufika Kanaani. Usimuasi Mungu kwa sababu fulani alimuasi, atakayehukumiwa ni wewe na mimi, huyo hatakuwepo
Umeisoma biblia vizuri.? Suala la mapenzi linasumbua Sana ulimwengu
 
pale kwenye mwanamke kuwa na tabia za mamake......HAKIKA......limenikuta.......na watoto wake wa kike woooote ni vidanga.....
wengine watajifunza hapa....
 
Hapo ni mbinu ya kwanza ndo inanguvu hayo mengine ni nyongeza. Shida ni kuwa tuna mapungufu mengi sana zaidi ya hayo mambo kimwili, mtu anaweza kuwa na makalio makubwa lkn ni mkorofi, muongo, mzinzi etc...Hivyo kuwashauri vijana moja kwa moja waoe au kuolewa kwa kufuata matamanio ya mwili ni hatari sana. Unaweza ukampenda mwanamke kisa labda matiti makubwa..ghafla kansa.matiti yamekatwa....je ndo furaha yako imeishia hapo???


Nafikiri turudi katika maana halisi ya upendo...kulingana na biblia...Ndo upendo huohuo unapaswa kutumika....

Kumbuka mwanamke sio makalio, wala rangi, wala urefu au ufupi...Kuna vitu vingine ambavyo havishikiki....

Kikubwa oa au olewa na mtu ambaye unaona umempenda na huna sababu ya kumpenda....inayoonekana. Zaidi ya hapo ni tamaa
 

Ayubu 1:1​

Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.

Kama hakuna mkamilifu basi hakuna hukumu.

Sema watu hatutaki ukamilifu aliotupa Mungu kutokana na Free will aliyotupa
Free will[emoji2211]
 
Ushauri mzuri si rahisi kuupata,, pia ni vigumu kuufuata..
 
Nimejifunza Mambo mengi Sana Hapa ambayo sikuyajua kabla.Hongera Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom