Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
siri ya mafanikio ni kutunza siri ambayo ni sauti za nasibu iliyo ndani yakoHabari zenu Wana jukwaa
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri
Baadae ya kua mtu mzima Kuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na wengi hawapendi mtu afanikiwe iwe ni ndoa kazi au biashara
Sasa ninaomba mnipe mbinu gani nitumie ili maisha yangu yawe ya Siri nimeshahangaika sana Kuna vitu nisipowashirikisha Ina kua ni ugomvi hivyo inanilazimu niwaeleze mipango yangu yote hiki kitu sikipendi na hata nikiwama hawana msaada wowote ule
Nifanyaje wasijue maisha yangu na ukizingatia ni watu wangu wa karibu
Natanguliza shukran
Nifanyaje mkuu kufanikiwa kwenye hilosiri ya mafanikio ni kutunza siri ambayo ni sauti za nasibu iliyo ndani yako
simba mwenda pole ndiye mla nyama,mwambie Mungu akusaidie kudhibiti ulimi wako kama ndo unaokuponza kuropoka tu kwa kila mtu au ndugu zako kuhusu mipango yakoNifanyaje mkuu kufanikiwa kwenye hilo
Sawa mkuu Asantesimba mwenda pole ndiye mla nyama,mwambie Mungu akusaidie kudhibiti ulimi wako kama ndo unaokuponza kuropoka tu kwa kila mtu au ndugu zako kuhusu mipango yako
Ni wachawi haswa na wanamtumia bila yeye kujua, sasa kashashtuka aache kuwataarifu itakuwa ngumu mwanzoni lakini baadae mambo yatabadilika.Kabisa yani kiufupi ni wachawi km wengine tu
Mi nilivyo kauzu 😃😃 sipendagi mazoea ya kipuuzi hao ndg wangekaa mbali sana na mimiNi wachawi haswa na wanamtumia bila yeye kujua, sasa kashashtuka aache kuwataarifu itakuwa ngumu mwanzoni lakini baadae mambo yatabadilika.
Ukishakuwa above 18 hakuna wa kuyatawala maisha yako zaidi yako mwenyewe labda kwa kupenda kwako uliruhusu hilo.
Ndivyo inavyotakiwa, kwa watu ambao tulishakuwa karibu sana na ndugu ni bora zaidi kuwa nao mbali hata heshima inakuwepo. Watu wengi huogopa maneno maneno bila kujua kwamba maneno huwa yapo tu hata iweje.Mi nilivyo kauzu 😃😃 sipendagi mazoea ya kipuuzi hao ndg wangekaa mbali sana na mimi
Huyu jamaa anataka kufurahisha ndg ukoo mzima, akiendekeza hilo ajiandae kuchanganyikiwaNdivyo inavyotakiwa, kwa watu ambao tulishakuwa karibu sana na ndugu ni bora zaidi kuwa nao mbali hata heshima inakuwepo. Watu wengi huogopa maneno maneno bila kujua kwamba maneno huwa yapo tu hata iweje.
Yaani ni kazi nimeshakua mtu mzima Sasa sijui wanataka niwe fukara au maana sijawahi kuonana hata siku Moja wakinipa msaada wa kipesa hata nawazo ya kimaendeleoNi wachawi haswa na wanamtumia bila yeye kujua, sasa kashashtuka aache kuwataarifu itakuwa ngumu mwanzoni lakini baadae mambo yatabadilika.
Ukishakuwa above 18 hakuna wa kuyatawala maisha yako zaidi yako mwenyewe labda kwa kupenda kwako uliruhusu hilo.
Na kufa mapema abadilike haraka sana.Huyu jamaa anataka kufurahisha ndg ukoo mzima, akiendekeza hilo ajiandae kuchanganyikiwa
Achana nao ishi maisha yako, jali maisha yako na sio wayatakayo, toka hapo ulipo kajitegemee bila wao.Yaani ni kazi nimeshakua mtu mzima Sasa sijui wanataka niwe fukara au maana sijawahi kuonana hata siku Moja wakinipa msaada wa kipesa hata nawazo ya kimaendeleo
Sawa mkuu AsanteAchana nao ishi maisha yako, jali maisha yako na sio wayatakayo, toka hapo ulipo kajitegemee bila wao.
Kwa kukusaidia kama una toxic behaviour kama za addiction jitahidi uache ili uweze kusimama peke yako.
Hii tabia ya kucontrol wengine anayo sista yangu,huwa mimi tunazinguana sana naweza nikakaa hata zaidi ya nusu mwaka nisimpigie simu hata kumsalimia tu,wengine wanasema niwe najishusha nilikataa kabisa. Analalamika kuwa mimi msiri sana,kuna siku nkamwambia dili moja hivi akaenda kunichomesha,namlaani hadi leo hii. Nikiulizwa kwa nini huwapigii ndugu zako simu najibu simu yangu haitumii mafuta ya alizeti inatumia vocha..Unaishi na watu ambao wanapenda kucontrol wengine, ishi maisha yako mkuu usiri ni muhimu sana kwako.
Kwanza hama home au kaa mbali na maeneo yao!!Sasa ni watu ninaoishi nao hata nikipata dili la kazi wanataka nijue ni wapi nafanyia hiyo kazi mpaka mshahara Mimi sipendi na siku nisipokua na ishu wanakaa mbali na Mimi hata mia yao siioni
Dah😭
Wadada wanayo sana hasa akishakuzidi kiuchumi, sio lazima kuwasiliana kila mara kama hakuna haja hiyo, kiasili wanawake wanapenda sana kujua na kufuatilia maisha ya watu na haiishii tu hapo.Hii tabia ya kucontrol wengine anayo sista yangu,huwa mimi tunazinguana sana naweza nikakaa hata zaidi ya nusu mwaka nisimpigie simu hata kumsalimia tu,wengine wanasema niwe najishusha nilikataa kabisa. Analalamika kuwa mimi msiri sana,kuna siku nkamwambia dili moja hivi akaenda kunichomesha,namlaani hadi leo hii. Nikiulizwa kwa nini huwapigii ndugu zako simu najibu simu yangu haitumii mafuta ya alizeti inatumia vocha..