Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Na hakuna atakayemuonea huruma zaidi yake yeye mwenyewe.Kwanza hama home au kaa mbali na maeneo yao!!
Huwezi fanikiwa kama Kila mtu anajua Kila kitu!akijua kinayeyuka!!
Tafuta room kimya kimya!!maendeleo bila ubinafsi huyapati trust me!
Tulikataa post za uhamisho wa kurudi nyumbani coz ni kujipiga risasi mguuni!Na hakuna atakayemuonea huruma zaidi yake yeye mwenyewe.
Natamani kutoka ila nawaagaje ndo shida 🤔🤔🤔Achana nao ishi maisha yako, jali maisha yako na sio wayatakayo, toka hapo ulipo kajitegemee bila wao.
Kwa kukusaidia kama una toxic behaviour kama za addiction jitahidi uache ili uweze kusimama peke yako.
Bado hujakuaHabari zenu Wana jukwaa,
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri.
Baadae ya kuwa mtu mzima kKuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na wengi hawapendi mtu afanikiwe iwe ni ndoa kazi au biashara.
Sasa ninaomba mnipe mbinu gani nitumie ili maisha yangu yawe ya Siri nimeshahangaika sana Kuna vitu nisipowashirikisha Ina kua ni ugomvi hivyo inanilazimu niwaeleze mipango yangu yote hiki kitu sikipendi na hata nikiwama hawana msaada wowote ule.
Nifanyaje wasijue maisha yangu na ukizingatia ni watu wangu wa karibu
Natanguliza shukran.
Broh ukweli ni kwamba kwasasa unapenda, kuna siku litakukuta jambo, hapo ndio utaacha kupenda kwa vitendo.Kuna vitu nisipowashirikisha Ina kua ni ugomvi hivyo inanilazimu niwaeleze mipango yangu yote hiki kitu sikipendi na hata nikiwama hawana msaada wowote ule.
Nifanyaje wasijue maisha yangu na ukizingatia ni watu wangu wa karibu
Natanguliza shukran.
Mimi ni ke na Hawa ni walezi wanguBroh ukweli ni kwamba kwasasa unapenda, kuna siku litakukuta jambo, hapo ndio utaacha kupenda kwa vitendo.
Ila naomba kujua, hao ni kina nani ambao ni lazima uwaelezee mipango yako yote? Hakuna mwenye kuweza kukulazimisha ufanye hivyo, labda mkeo kwavile ndio jukumu lako.
Fanya uolewe sasaMimi ni ke na Hawa ni walezi wangu
Sijapata mtu Sasa mkuu nikurupuke tuuFanya uolewe sasa
Ambaye anakupunguzia mawazo yupo lakini?Sijapata mtu Sasa mkuu nikurupuke tuu
Sorry mrembo, ID yako sikuitambua ni jinsia gani.Mimi ni ke na Hawa ni walezi wangu
Naishi nao BadoSorry mrembo, ID yako sikuitambua ni jinsia gani.
Anyways, bado upo chini ya walezi wako?
Kama unaishi nao/chini yao, basi bado wana haki ya kukuuliza mipango yako. Japo vipo ambavyo kwa rika lako unaweza kuvifanya siri.Naishi nao Bado
Aga wazazi wako tu inatosha sana, hao ndio wenye baraka kwako, kama hawapo aga yeyote. Fanya maamuzi magumu na usiogope lawama vinginevyo utaendelea kuupalilia umasikini wako na umri unasogea.Natamani kutoka ila nawaagaje ndo shida 🤔🤔🤔
SawaKama unaishi nao/chini yao, basi bado wana haki ya kukuuliza mipango yako. Japo vipo ambavyo kwa rika lako unaweza kuvifanya siri.
Waambie yale wanayotakiwa kuyajua. Siku utakayotoka hapo nyumbani (kuolewa, au kupata kazi sehemu ya mbali), hapo ndipo utaanza kujimiliki.
Sawa mkuu AsanteAga wazazi wako tu inatosha sana, hao ndio wenye baraka kwako, kama hawapo aga yeyote. Fanya maamuzi magumu na usiogope lawama vinginevyo utaendelea kuupalilia umasikini wako na umri unasogea.
Alafu acha kuogopa watu, waheshimu. Wewe ni muoga muoga.
Wewe ni ke au me?Sawa mkuu Asante
Mimi keWewe ni ke au me?