Mbinu za kuwa msiri

Ssa

Huwezi hata upewe mbinu gani maana tayari una uoga kwa kutowaambia mambo yako, unaogopa watakasirika
 
Wewe usiwaambie chochote , hapo unakuwa msiri tayari.
 
Jitahidi kuwa mtu wa kusikiliza zaidi kuliko kuongea (au kuongea-ongea); na kila jambo unalolisikia jipe muda wa kulitafakari kabla ya kulitolea majibu/ufafanuzi/maelezo.
 
Sasa ni watu ninaoishi nao hata nikipata dili la kazi wanataka nijue ni wapi nafanyia hiyo kazi mpaka mshahara Mimi sipendi na siku nisipokua na ishu wanakaa mbali na Mimi hata mia yao siioni
Dah๐Ÿ˜ญ
we bado ni mvulana ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ...siku ukiwa mwanaume utaweza tu kua msiri...kwa hiyo kukaa nao ndo inakulazimu mpk kiasi cha mshahara utaje
 
Ukiwa unaenda kunyandua/kunyanduliwa huwa unawaambia pia?

Yes, kama unvyoweza kutunza hiyo Siri basi na SIRI zingine unaweza.
Hata akijichua anawaambia watu wa karibu? Kama hawaambii iweje hivi vitu vingine awaambie.
 
Jifunze kuwa mwongo pindi mtu anapokukuuliza kitu fula huku ukimchora ili ujue nia yake hasa. Kumbuka uwongo mwingine haina athari hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ