StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kuna tofauti Kati ya KUWAONGOZA watu na KUWATAWALA.
Alichokuwa anakifanya Farao kwa Wana wa Israeli ni KUWATAWALA. Lakini alichokuwa akikifanya Musa kwa Wana wa Israeli wale wale ni KUWAONGOZA.
Kwa sababu ninyi mlichagua KUWATAWALA watanzania badala ya KUWAONGOZA basi tangu AWALI kabisa mlitakiwa pamoja na mbinu zenu mlizokuwa mnazitumia ili muendelee kuenjoy KUWATAWALA Watanzania pia mlipaswa kufanya yafuatayo:
1. Mlitakiwa muitenge TANZANIA na DUNIA YOTE/Muifanye Tanzania kuwa KISIWA(TOTAL ISOLATION)
2. Mlipaswa KUTOSAINI mikataba ya KIMATAIFA ikiwemo mikataba ya kulinda na Kutetea HAKI ZA BINADAMU. Kwa kufanya hivi hakika mngeenjoy sana. Mngekuwa huru hata kula nyama za Watanzania bila kuingiliwa na yeyote!. Mngetembea vifua mbele huku mkitamba na ule msemo wenu wa "Tanzania ni nchi huru,msituingilie"
3. Msingeruhusu maendeleo yoyote ya kiteknolojia hasa teknolojia ya mawasiliano. Ona sasa, Mlivyojichanganya!. Mmeruhusu kusambaa kwa viswaswadu na hatimaye Smatifonsi, matokeo yake Recho Dangwa na Matusi yake anafuatiliwa zaidi kuliko Hotuba za viongozi
Ni hayo tu kwa leo. Kama nikishushiwa jingine lolote kutoka katika MAMLAKA isiyoonekana sitasita kuwadokeza!.
Ni Mimi Mtanzania mwenzenu ambaye sometimes naonekana sometimes sionekani