Pre GE2025 Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuwa kiongozi kwa kura za wizi ni ugojwa wa akili. Kwasababu maana ya uongozi ni kukubalika na kuaminika kuwaongoza wananchi. Cha ajabu ni kwamba wengi ccm inao watumia kufanikisha wizi wa kura ni mafukara wa kutupwa. Hata uhakika wa milo miwili kwa siku hawana. Ila kwa sababu wanapewa uhakika wa kura vizuri kwa siku za uchaguzi wanajikuta wanakubali kusaidia watu wanao kwenda kuwafanya mafukara zaidi kwa miaka mitano mingine ijayo. CCM WOTE NI WAGOJWA WA AKILI KABISA , KUANZIA RAISI MPAKA MJUMBE WA NYUMBA KUMI WOTE HAWANA AKILI TIMAMU. MTU MWENYE AKILI TIMAMU NI YULE ANAYEWEZA KUPANGA MIPANGO INAYO ENDELEA HATA YEYE MWENYEWE BAADA YA KUFA. SASA NIAMBIE NI KIONGOZI GANI WA CCM AMBAYE ANAWEZA HATA KUPANGA MPANGO AMBAO UNAKWENDA MBALI ZAIDI ya MWAKA WA UCHAGUZI UNAO FUWATA?
 
Mi nachoshangaa pamoja na maujinga yote haya ambayo yapo wazi kabisa bado vyama vya upinzani vinataka kushiriki huo uchafuzi sijui uchaguzi
Umeona mkuu, yaani ni kama uchaguzi huu wa Tanzania ni kiini macho tu, nimewai kuandika uzi humo, kuwa huu ni UCHAGUZI au kiin macho? Watu wenye macho matatu walinielewa, ile wengi BAdo, eti watakomaaaaa? Na mfumo mbovu? Hii inchi ukiwa na jicho la tatu? Utashangaaa sanaaaaa yanaendelea. Shida ni elimu elimu na ubinafsi.
 
Nitashangaa endapo vyama vya Upinzani vitakubali kushiriki uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Aidha nawashangaa zaidi watu timamu waliodiriki kujiandikisha kuhalalisha mfumo wa uchafuzi!
 
Hili jinamizi CCM ni hatari kweli kweli.
 
Kushiriki uchaguzi ni lazima kwani ndio njia peke ya kuonyesha wenda wazimu wa watu tunao waita viongozi. Bila kushiriki uchaguzi wendawazimu watatawala kwa raha sana maana watajuwa wamekosa upizani kwasababu wanapendwa sana. Wapizani wakishiriki uchaguzi watu wenye akili wanaona utahila na upambavu wa chama tawala. Pia uchaguzi utusaidia kijuwa wenye akili na wagojwq wa akili.
 
Ni kweli kabisa..

Lakini kukiwa na mikakati dhabiti na ushirikiano wa wananchi wataka mabadiliko, mbinu hizo zote zinadhibitika kirahisi kabisa...

Tundu Lissu katika Jimbo la Singida Mashariki mkoani Singida, aliweza kuhamasisha wananchi na kufanya kazi ya kudhibiti wizi huu kwa 100% na CHADEMA katika Jimbo hilo iliweza kushinda karibu vijiji, mitaa na vitongoji vyote kwa zaidi ya 90% katika chaguzi za 2009 na 2014.....

Shida kubwa Iko kwenye udhaifu wa uongozi chama ktk majimbo kwa kushindwa kuwaamusha wananchi ktk maeneo yao Ili kujua haki na wajibu wao wa kisiasa wa kupata viongozi bora ktk maeneo yao. Hii haihitaji kuwa na fedha. Tundu Lissu hakuwa akiwalipa watu wa Jimbo lake pesa Bali ni kuwaelimisha tu na kuwafanya wajitambue, basi....

Ndiyo maana, baada ya kuona hivi CCM ktk uchaguzi wa mwaka 2019 wakimtumia yule dikteta uchwara ambaye amekwisha kufa Hayati John P. Magufuli waliamua kuiba uchaguzi wote kwa nguvu bila kutumia akili...!!

Narudia tena, hatupaswi kulalamika tu bali tuchukue hatua kudhibiti ujinga na uhayawani huo wa CCM....

Wananchi wote tuliokwisha kuchoshwa na kuichukia CCM tunatakiwa, kuhamasishana na kujitoa hata bila kusubiria kulipwa ingalau kwa hiyo siku moja ya uchaguzi kuhakikisha kuwa tunazuia kila mbinu ya wizi wa kura na uchaguzi inayofanywa na hawa hayawani wa CCM...

INAWEZEKANA. SINGIDA MASHARIKI JIMBONI KWA TUNDU LISSU ILIWEZEKANA KWA CHAGUZI MBILI MFULULIZO (2009 & 2014). HATA MAJIMBO MENGINE KOTE INAWEZEKANA....!!!
 
Hii nondo imetulia.

Siwezi kupoteza muda kushiriki chafuzi. CCM acha iibe, iharibu, kisha wananchi watakapochoka wataamua cha kufanya huko mbeleni wao wenyewe. Lakini CCM kamwe haitoki madarakani kwa chafuzi
CCM na serikali yao ni zaidi ya magaidi kwenye masuala ya wizi wa uchaguzi na ufisadi wa rasilimali za taifa.
 
Uongi mtupu, hata kukusoma sijakusoma.

Kura hazijjaanza kabisa kupigwa wewe umeshatabiri zinaibiwa vipi!

Ukondoo zembe huo.
 
Uchaguzi upi; huu wa serikali za mitaa au ule mwingine?

Kama kweli kuna "kuchimbika" mi ninge shauri ule mwingine, kwa sababu maalum na kimkakati zaidi. Huu uwe ni maandalizi tu, kama wanavyo utumia CCM kwa kazi ya huo mwingine.
Mbinu za wizi wa chaguzi zote unafanana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…