The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Hao CDM (nadhani unamaanisha CHADEMA) ni kina nani kwani kama siyo wewe na mimi...?Well narrated. Tatizo sijui kwa nini CDM wanashindwa kusoma mchezo huo na kuwathibiti wahuni hao.
Acha kudhani kuwa CHADEMA ni Freeman Mbowe au Tundu Lissu au John Mnyika. CHADEMA ni kila mtu wewe ukiwemo iwapo tu unataka mabadiliko ktk nchi hii...
Kama unadhani kuwa mabadiliko yatakukuta tu huku wewe ukiwa unalalamika na kuwarushia lawawa hao unaowaita CDM, basi tambua tu kuwa utasubiri sana bila ya kuyaona kwa kuwa tu wewe hutambui wajibu wako wa kisiasa huku ukidhani mabadiliko hayo yataletwa na wengine....