Pre GE2025 Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Well narrated. Tatizo sijui kwa nini CDM wanashindwa kusoma mchezo huo na kuwathibiti wahuni hao.
Hao CDM (nadhani unamaanisha CHADEMA) ni kina nani kwani kama siyo wewe na mimi...?

Acha kudhani kuwa CHADEMA ni Freeman Mbowe au Tundu Lissu au John Mnyika. CHADEMA ni kila mtu wewe ukiwemo iwapo tu unataka mabadiliko ktk nchi hii...

Kama unadhani kuwa mabadiliko yatakukuta tu huku wewe ukiwa unalalamika na kuwarushia lawawa hao unaowaita CDM, basi tambua tu kuwa utasubiri sana bila ya kuyaona kwa kuwa tu wewe hutambui wajibu wako wa kisiasa huku ukidhani mabadiliko hayo yataletwa na wengine....
 
MADENTI
 
Nakupenda Tanzania.
Hakika nakuzimia.
Vyama vyote vitapita ila Taifa litasimama.
 
CHADEMA YOTE IMEJAA WAPUMBAVU ..KITENDO CHA KUDHANI 2025 KUNA UCHAGUZI NI KITUKO KIKUBWA SANA SAMIA KAPANGA KUBAKI MADARAKANI BILA YA UCHAGUZI ...YOTE YATAKAYO FANYIKA NI BOSHENI TU
 
CHADEMA YOTE IMEJAA WAPUMBAVU ..KITENDO CHA KUDHANI 2025 KUNA UCHAGUZI NI KITUKO KIKUBWA SANA SAMIA KAPANGA KUBAKI MADALAKANI BILA YA UCHAGUZI ...YOTE YATAKAYO FANYIKA NI BOSHENI TU
Unashauri nini kifanyike mkuu? Hatuwezi kukaa kulaumu tu bila kutoa suluhisho.
 
Hiyo namba 4, inajirudia kila mwaka
 
Unashauri nini kifanyike mkuu? Hatuwezi kukaa kulaumu tu bila kutoa suluhisho.
Kila tulipo toa ushauri chadema na vyama vingine vya upinzani walikuja humu kutupinga na kututukana wakibisha maono yetu ...niliwaambia kuwa samia akigombea 2025 damu nyingi sana itamwagika kabla na baada ya uchaguzi wakaniambia naota ...ushauri tuliwaambia mapema chadema watambue vizuri ccm ni nini na serikali kwa sasa ipo chini ya kina nani tukaongea sana kuhusu Raia feki kushika hatamu ...tukaonya chadema kutumika kuwapiga vita wazalendo yote hayo tulipo yasema tulitukanwa kuwa ni sukuma gang ...siku zote mpumbavu uja kujuta mwishoni ...tumeonya sana kuhusu genge la Rostam azizi hakuna aliye kubali mashauri yetu ...kwa sasa chadema kinaongozwa na mpuuzi Mbowe ...tumewaambia wamuondoe huyo mtu kukinusuru chama ni nani aliye tusikia...tuliwaonya wapinzani toka kipindi cha JPM kuwa wanajiua wenyewe kwa kupiga vita uzalendo na wazalendo ..
 
Nitashangaa endapo vyama vya Upinzani vitakubali kushiriki uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Aidha nawashangaa zaidi watu timamu waliodiriki kujiandikisha kuhalalisha mfumo wa uchafuzi!
mchezo uko hivi ya kwamba ccm wafanye kila figisu ili chadema wasuse kushiriki uchaguzi, nawakisha kacha kushiriki uchaguzi, halafu act wazalendo wapaishwe na ccm kama chama kikuu cha upinzani kwa kupewa mitaa mingi na ccm, na hii inawafanya chadema wakome hivohivo kama yatima
 
Kweli kabisa mkuu. Mtu yeyote anayetaka nchi hii iendeshwe kwa misingi ya haki na sheria ni mwanaCHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…