Pre GE2025 Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukitaka kujua Africa tumelaaniwa. Maendeleo hayafiki ila ballot paper (karatasi ya kupigia Kura) itafika kona zote za nchi.
 
Tanzania ya CCM ni wizi kuanzia std seven hadi kufa!
wizi wa mitihani std 7, form 4. form 6 na vyuo vikuu
Wizi wa kura ktk chaguzi zote!
Wizi wa fedha za umma
wizi wa kuiba "maisha" ya watu
 
Katiba mpya, katiba mpya,tutaburuzwa kama maksai!
Chifu Hangaya alishasema katiba ni kitabu tu kama vitabu vingine. Hata itungwe katiba mpya sidhani kama ataifuata mkuu.
 
WaTanganyika wote wanajua kuwa ccm na act wazalendo ni washirika kwenye udhalimu unaendelea nchini!
Sijui hao Chadema wanahofia nini wakati kuanzia 2019 hadi leo hii mitaa yote imekuwa na viongozi haramu waliotokana na uchafuzi enzi za JPM! Pamoja na hayo yote bado CHADEMA ikaendelea kuaminika!
 
Kama mmejua mbinu za wizi, sasa hatutarajii kuona vilio baada ya uchaguzi
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 5
Namshukuru Mungu sikwenda kujiandikisha!
Nasikia Amani moyoni mwangu kwa sababu sitashiriki Uchaguzi haramu kama huu!
Hii nchi imelaaniwa ndio maana haipati maendeleo ya haraka.
 
Duuh
 
Hatuwezi kuendelea kwa utaratibu wa mfumo huu. Maana akili za viongozi ni uchaguzi tu ili waendelee kula keki ya taifa. Watafikiria mambo ya maana saa ngapi?
 
Hatuwezi kuendelea kwa utaratibu wa mfumo huu. Maana akili za viongozi ni uchaguzi tu ili waendelee kula keki ya taifa. Watafikiria mambo ya maana saa ngapi?
Makamba Sr aliwahi kusema kwamba kazi ya chama cha siasa ni kushinda uchaguzi. Habari ya kujiletea maendeleo itakubidi ujipambanie mwenyewe mkuu. Nchi hii ina watawala wenye akili za kikwuma sana.
 
  • watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    516.2 KB · Views: 3
  • b3a34e7e631270a9e73fdd13db687369.mp4
    3.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…