Mbinu zinazotumika kutafuna fedha za umma na vigogo serikalini

Mashirika hayana tija kwa sababu wanaoteuliwa kuyaongoza hawana uwezo.
Hebu hizo nafasi zitangazwe na watu wafanye interview uone mabadiliko.
Mfano kumteua mkuu wa TTCL wa Sasa unategemea nini?
Sijaitaja wizara yoyote lkn huko ndio kwenye mchwa.
Ni aibu tupu jamaa wanaigawana nchi
 
Hizo ni porojo na tantalilaa tu.

Watanzania hawajawahi kuweza kujiongoza wenyewe.

Mtanzania anachoweza ni wizi, uhujumu uchumi, ukwepaji kodi, Ubadhirifu wa mali, kujilimbikizia Mali, ulevi na umbea.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Ni aibu tupu jamaa wanaigawana nchi
Mtoto wa Nnauye....waziri
Mtoto wa JK .....Waziri
Mtoto wa Pinda.....Waziri
Mtoto wa Sokoine ....balozi
Mtoto wa Makamba....waziri
Mtoto wa Nyerere....mkuu wa mko
Mtoto wa Mongela .mkuu wa mko
Unaweza kuongeza wawili watatu ujuao.
Msuya, Makinda na Salim hawakupenda huu upendeleo.
Sisi ambao hatuku penetrate hii cycle watoto wetu wataendelea kua wapiga kura.
 
Rais asiendeshe nchi kama mama Junior. Hao jamaa kuwaambia tu na kufikiri watabadilika haiwezekani. Lazima wawe wanakalia tako moja, wakifikiria kuchukua pesa sehemu waone za moto zinaunguza. Hata wazo la kwenda kuchota sehemu lisiwaingie akilini.
 
Anamlalamikia nani?kila siku yeye ni kusema tu hao mawaziri si wake,bunge lake limeuza bandari hajasema kitu
 
Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye maendeleo, huku nchini hali ikiwa mbaya kutokana na tija ndogo inayosababishwa na uzembe na hujuma.
Jemadari akilalamika badala ya kuchukua hatua madhubuti, ni sawa tu na kuruhusu hayo anayolalamikia kuendelea
 
Hana mtoto, Msuya watoto wake wapo BoT na bandarini, Salim siwajui watoto wake, akina Shekifu watoto wapo NHIF, Bandarini, Bulembo familia ipo kwenye system, Majaliwa ndugu zake wanaitwa ukoo wa Makota na Haule(DED/DC), Mary Nangu mtoto wake ni mganga mkuu wa serikali, Sumaye watoto wapo BoT na Wizaraya ya Afya, orodha ni ndefu sn.
 
Sahihi kabisa, hakuna jipya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…