demokrasia
Member
- Apr 6, 2011
- 52
- 5
Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli njia ya chooni haioti majani!!
Pindi ukijisikia hamu ya kubandua, unamuomba radhi huku ukimuomba na tunda akilegea tu unakula tunda hapo utakuwa umekata hasira zake zoteeeee ukimaliza umshukuru!!Kweli njia ya chooni haioti majani!!
Kulia nako huwa kunasaidia,atakuonea huruma.
Kulia nako huwa kunasaidia,atakuonea huruma.
"Mwanaume halii, anatoa machozi tu." -
Moja ya advantage ya kumjua vizuri mpenzi wako.... ni kuweza jua jinsi ya kumkosha....
kwamba hata ukimkosea ukiomba namna hii au ile ndio weakness yake, mwingine mpaka
umpigie magoti, mwingine umnunulie gari, mwingine umaanishe tu msamaha e.t.c.
Mmmmh!How?Muombe samahani ukimaanisha tu inatosha!
Inalipa hata ukitoa hayo machozi kitaeleweka."Mwanaume halii, anatoa machozi tu." - Wahenga
Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.
kuzama uvinza aka chumvini.mimi ni mwanaume.naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana jf naombeni mawazo yenu.