Mbinu zipi sahihi za kumwomba mpenzi msamaha?

Mbinu zipi sahihi za kumwomba mpenzi msamaha?

demokrasia

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
52
Reaction score
5
Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.
 
Inategemea aina ya kosa lakini zipo mbinu nyingi... Mtoe out..... mfanyie kitu ambacho hujamfanyia kwa siku nyingi kama kumnunulia zawadi nk. Zingatia pia ushauri wa JASON BOURNE hapo juu practically unawork sana! Mechi ikiisha "vyema" (kwa sare...hatakiwai mshindi hapa) basi na msamaha unakuwa umeombwa na kutoka hapo hapo!
 
Moja ya advantage ya kumjua vizuri mpenzi wako.... ni kuweza jua jinsi ya kumkosha....

kwamba hata ukimkosea ukiomba namna hii au ile ndio weakness yake, mwingine mpaka

umpigie magoti, mwingine umnunulie gari, mwingine umaanishe tu msamaha e.t.c.
 
Ashadii nimekumiss
Kweli ukimjua mpenzi wako na ni wapi ambapo ana weakness unaweza kupata sehem ya kumuombea msamaha maana mwingine unawez akukuta maua pekee yanatosha kumuomba msamaha mwingine kumtoa out mwingine just ile kusema tuu am sorry inatosha
So mjue mlpenzi wako na ni wapi ambapo unaweza kumpata kwenye kona ukamuomba msamaha
 
nadhani kumuambia tu waziwazi kuwa umetambua a, b,c sio sahihi na uahidi kujirekebisha na kumuomba support yako ili ubadilike, sio tu kwa ajili yake lakini pia kwa ajili yako binafsi. muhimu ni kubadilika kwa matendo.sio unaomba msamaha leo na kesho unafanya kilekile,kuna mijitu inatubu afu inakuwa kama imepata visa permit,lol!hapo hata umtoe dinner mara alfu inakuwa haina tija hata kama hatokuambia!
 
inategemea ulimtongozaje mpaka aka kukubalia ....tumia mbinu hizo hizo ila tu usijilize...
 
Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.

Mkuu..Jibu lako lipo kwenye lyrics za wimbo huo hapo chini wa Jimmy Cliff "Action speaks louder than words" Please jaribu kusikiliza maneno yake..

[video=youtube_share;X4XM1Ot5414]http://youtu.be/X4XM1Ot5414[/video]

Kumbuka msamaha wa kweli uko kwenye matendo yako ..You say it..n' You mean it!
 
mfanyie kitu ambacho unajua anakipenda umfurahishe ndio umuombe msamaha
 
mimi ni mwanaume.naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana jf naombeni mawazo yenu.
kuzama uvinza aka chumvini.
 
Back
Top Bottom