Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Hapo zamani wafanyabiashara wengi wakifika kariakoo kujumua / kufunga mizigo kwajili ya kwenda kuuza mikoani ama nchi zilizotuzunguka walifikia maduka makubwa ya wachaga na wapemba ukiachana na wenye asili ya asia,

Kwa sasa hali ni tofauti maana jamii ya wakinga wanamiliki share kubwa ya soko la kariakoo katika biashara,

wamefikia stage ya kuweza mpaka kumiliki magorofa kibao ya Kariakoo wanayofanyia biashara na kukodisha wengine.

Ni mbinu zipi hasa zimewafanya wakinga wawe wafalme wapya wa kariakoo.

Kwangu mimi nijuavyo ni kwamba Wakinga ndio jamii ya watanzania waliojaa zaidi Guang Zhou, Huu ni mji wa China ambako kuna viwanda vingi, maduka kibao ya kujumua kwa bei chee na muhimu kuzidi vyote kuna Bandari, Wakinga wamejaa sana katika huu mji kiasi kwamba wamepata uzoefu mkubwa na channels za ku deal na Wachina.

Silaha yao kuu hapa ni kununua bidhaa kwa bei za chini, kuzisafirisha kwa bei ya chini kwa kukodisha meli za wachina na pia nao wanauza kwa faida kidogo, sisi wateja kama kawaida yetu huwa tunapenda machimbo ya bei rahisi.
 
Wengi huwika mwaka mmoja mwaka unaofuata unasikia wamekimbia na madeni ya watu maana Kariakoo wengi huchukua mali kauli.

Hawaijui biashara,kuweka faida kidogo ili wawavutie wateja mwisho kodi za frame zinawashinda na wakiingizwa VAT ndo wanapotea kabisa kwenye ramani.
 
Kwa wanaosema uchawi wacheni niwarahishie tu kazi, kama ingekuwa ni uchawi basi watu wa gamboshi na sumbawanga wangekuwa mbali mnooooo!! waganga wa jadi wangekuwa ni mabilionea.
Sure!

Biashara siyo uchawi mkinga anapewa lawama zisizomuhusu (japo hatukatai wapo wanaotumia uchawi kama akawa mkinga Mchagha mpemba au muhindi),biashara nyingi Kariakoo ni akili za mtu umejipangaje the rest ni maneno ya wasioijua biashara vizuri.
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi

ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics

MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma

BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10

HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa

HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha....
Hii niliihifadhi kuna jamaa mmoja alicomment kwenye uzi kama huu maana mmetuchosha na kutaja Wakinga wakati biashara zao za kawaida tu. Muite mkinga mwenzio Get Rich aje mtaje biashara za Wakinga hapo Kariakoo, nimetaja Wachaga
 
Wengi huwika mwaka mmoja mwaka unaofuata unasikia wamekimbia na madeni ya watu maana Kariakoo wengi huchukua mali kauli.

Hawaijui biashara,kuweka faida kidogo ili wawavutie wateja mwisho kodi za frame zinawashinda na wakiingizwa VAT ndo wanapotea kabisa kwenye ramani.
Maneno ya vijiweni hayo kwa stori za kuzusha na inaonekana hata hujui nguvu ya kuuza kwa faida ndogo.

Wateja wanaoenda kariakoo wengi huwa wanaenda kujumulia na mitandao sikuhizi imefanya iwe rahisi kujuzana machimbo yenye bei rahisi na ndiko wanakoenda.

Faida ndogo ni tangazo na promo tosha kupata wateja wengi na wa kudumu kwenye biashara yako, ni heri uuze kwa faida ya elf 2 ndani ya wiki unakuta ushamaliza mzigo wa piece elfu 1 kuliko kuuza kwa faida ya elfu 10 ndani ya wiki unakuta umeuza piece 50 tu tena kwa wateja ni wageni ambao wakishajua tu sehemu flani kuna bei chee wanakuhama na mauzo yako kushuka zaidi.
 
Kariakoo ninayoijua bado sioni hao Wakinga walioiteka
LMC_21032023_132523.Version 1 not ready.jpg
Wapo na wanafanya vizuri ila sio tunavyoaminishwa mitandaoni, tuwape muda bado

Na hapa sina muda ila tukianza taja biashara kubwa ukiachana na Kariakoo Wachaga bado wapo na nafasi kubwa. Hata DSE pale kabila lenye hisa nyingi kubwakubwa ni Wachaga. CRDB, TOL, Precision na wengine wana hisa kubwakubwa za Kichaga.
Na huu mjadala wala sio ukabila bali kuwekana sawa
 
Sijathibitisha ila biashara ni akili pia interest ya mtu ambaye huweza kuinfluence wengine kuwekeza.

Lete mfano kwa Wapemba ni wavuvi pia wachuuzi au wauza spares ukienda kariakoo utawakuta wengi hyo ni influence wakifika kwao hua wanajazana akili hyo..wachaga the same hivyo ni influence.

Kuhusu eneo alkadharika hata wamakonde ni wachuuzi na wanajulikana sana pia wanapatikana eneo hilo.

Wasambaa wauza kahawa na kashata wamejazana kwenye biashara hyo pia wapo pale mchikichini.

Wasukuma wachungaji let say its all about influence.
 
Soko la kariakoo hapo zamani lilijaa wachaga na wapemba katika watu wenye asili ya hapa Tanzania , Kwa sasa hali ni tofauti maana jamii ya wakinga wanamiliki share kubwa ya soko la kariakoo katika biashara,

wamefikia stage ya kuweza mpaka kumiliki magorofa kibao ya Kariakoo wanayofanyia biashara na kukodisha wengine.

Ni mbinu zipi hasa zimewafanya wakinga wawe wafalme wapya wa kariakoo.
Hujajibu swali mkuu, rudia kusoma upya kila neno kwenye post
Mimi ninaendika hapa nipo Kariakoo mwaka wa 23 huu,umesema wamefikia kumiliki magorofa nikikuuliza ni ghorofa gani anamiliki Mkinga Kariakoo huwezi kutaja yakafika hata kumi cos wengi wamekuja kipindi hiki ambacho Wazaramo wamepata elimu ya ardhi so wamejengeshwa kwa mikataba miaka kumi kumi na tano anakabidhi document kwa wamiliki wa mwanzo anabaki kuwa mpangaji kwenye nyumba aliyojenga mwenyewe.

Ukiwaondoa Suvilan na late Wanyama hakuna Mkinga utasema ana ghorofa Kariakoo ila ukitaka tutaje wasukuma wapemba wachagha wenye magorofa tutakesha hapa,hata huyo wa kwanza niliyemtaja hapo juu ana ghorofa moja tu ameijenga mwaka jana so bado ni mchanga kwenye game.
 
Kariakoo ninayoijua bado sioni hao Wakinga walioitekaView attachment 2560411Wapo na wanafanya vizuri ila sio tunavyoaminishwa mitandaoni, tuwape muda bado

Na hapa sina muda ila tukianza taja biashara kubwa ukiachana na Kariakoo Wachaga bado wapo na nafasi kubwa. Hata DSE pale kabila lenye hisa nyingi kubwakubwa ni Wachaga. CRDB, TOL, Precision na wengine wana hisa kubwakubwa za Kichaga.
Na huu mjadala wala sio ukabila bali kuwekana sawa
mkuu ungesoma maada kwanza ndio uchangie, tunazungumzia soko ambalo wafanyabiashara wengi huenda kujumlia bidhaa zao kwenda kuuza madukani aidha kwa dar, mikoani na nchi jirani kama Zambia, Malawi, Congo.
 
Mimi ninaendika hapa nipo Kariakoo,umesema wamefikia kumiliki magorofa nikikuuliza ni ghorofa gani anamiliki Mkinga Kariakoo huwezi kutaja yakafika hata kumi cos wengi wamekuja kipindi hiki ambacho Wazaramo wamepata elimu ya ardhi so wamejengeshwa kwa mikataba miaka kumi kumi na tano anakabidhi document kwa wamiliki wa mwanzo anabaki kuwa mpangaji kwenye nyumba aliyojenga mwenyewe.

Ukiwaondoa Suvilan na late Wanyama hakuna Mkinga utasema ana ghorofa ila ukitaka tutaje wasukuma wapemba wachagha wenye magorofa tutakesha hapa,hata huyo kwanza niliyemtaja hapo juu ana ghorofa moja tu ameijenga mwaka jana so bado ni mchanga kwenye game.
Hivi wale SABA General ni wakinga?
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi

ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics

MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma

BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10

HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa

HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Asanteeeeee sana hii niliitafuta nikaikosa wakinga ni hopeless wanapewa nguvu na jina na watu wachache wenye mawe mjini ila bado hawajafika level za wachaga
 
Back
Top Bottom