Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

Bila shaka wewe Ni Mkibosho Tena anaye penda sifa sio mbaya Ila siku Akiingia Kiongozi mwenye husda na kaskazini Ataanzia kwenye huu uzi wako.
Hivyo kwa nmna moja au nyingne umeanika watu Hapa bila kujua! Je umelipwa kwa kufanya hivi? Bila shaka hapana Ila huu Uzi Ni chanzo kizuri Cha info....

Hao aliowataja wanajulikana wengine walianza biashara kabla ya uhuru na baada ya uhuru, wengine kipindi cha mwinyi, kawaacha magu kama walivyo na maisha yanasonga hivo acha kutisha watu, hapo ukiona haumo kwenye list pambana uwepo miaka ijayo
 
Niwe Mkibosho au nisiwe, hizo mali ni zao. Aje kiongozi mwingine abomoe hayo maghorofa yao tumuone
 
Sawa Najua wakibosho mkianza league na mm Hapa Naweza nikatolewa Nje ya ulingo ...nyie watu Ni wabishi kinoma...cwezi shinda Najua Hilo. ' Ila Hao wengne league naiweza.
Hata kukesha Hadi niwashinde...kwenu yaishe tu..niendelee na Mambo yangu.Salute.
 
Niwe Mkibosho au nisiwe, hizo mali ni zao. Aje kiongozi mwingine abomoe hayo maghorofa yao tumuone

Hayupo na hakuna sababu ya kutiana uoga hauwezi kuja na sentesi za umiliki wa biashara kkoo kwa majina ya akina fred vunjabei ambae hata kwa sandaland hafiki, utaje akina wanyama na kibadamo na wengine baadhi uishie hapo wakati tunahitaji fact za kueleweka, tunakubali wakinga wanafanya vizuri na miaka inayokuja watakua mbali kibiashara lakini kwa sasa kariakoo madon ni wachaga hawakwepeki wanamiliki uchumi mkubwa kuliko wengine kwa ngozi nyeusi
 
Na wewe Unamiliki nini? Sio lazima ujibu lakin!🤔
 
Hao aliowataja wanajulikana wengine walianza biashara kabla ya uhuru na baada ya uhuru, wengine kipindi cha mwinyi, kawaacha magu kama walivyo na maisha yanasonga hivo acha kutisha watu, hapo ukiona haumo kwenye list pambana uwepo miaka ijayo
...Ukiona haupo kwenye list Pambana uwepo miaka ijaya!....
Hiyo list ya Forbes? Billboards au list gani Tuanzie hapo kwanza!
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi

ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics

MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma

BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10

HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa

HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Yule Vunjabei si mkinga yule anawawakilisha, ila nimevutiwa na huyo mangi kaoa mchina...teh.
 
Thomas lyimo huyu mwenye chuo cha walimu
Ni mtoto wake yupi huyo ambyae ni agent wa rangi
 
Uh aisee umeua mkuu
 
Heee
Aiseee
Haya
 
Thomas lyimo huyu mwenye chuo cha walimu
Ni mtoto wake yupi huyo ambyae ni agent wa rangi
Mi sijui mkuu, kuna Wakinga fulani huwa wanauza chupi za jumla pale Kariakoo walikuwa wananitisha wao ni kabila lenye utajiri mkubwa na uwekezaji nikawa nawapa data kubwakubwa zinazojulikana watu kama mzee Michael Shirima mwenye hisa nyingi Precision Air, wakabisha wakataja biashara za kulangua na kuuza jumla.
Muda si mrefu ukaja uzi humu sijui ndio haohao walivimbishana vichwa wakauleta nikaona jamaa katoa hizo data alafu kapotea. Nikazichukua for future use, tangu hapo wameufyata wakilishana upepo nachomoa kipengele kimoja tu, "nataja mahoteli ya Wachaga nitajie ya Wakinga" wanakimbia
 
Mkinga bado yuko level za uchuuzi wa bidhaa, wenzako huko wametoka muda na watu hawajui kua unaweza kuacha kufuata bidhaa uturuki na china na bado hapa hapa ukapiga pesa ndefu tu
 
Yes
Kuna upande hata sijui kama kuna hao wakinga
Mfano cosmetics

Sijajua huu ukabila una manufaa gani hata
Wakinga nguo wanaagiza sana kupitia GNM ya Mchaga na Mapembelo ya Mkinga mwenzao na makampuni mengine. Kwingine si sana na kama unavyosema kwenye cosmetics hawapo na electronics sio wakubwa. Ukabila hauna manufaa bora tumuelekeze mleta mada aujue mji asikariri
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi

ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics

MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma

BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10

HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa

HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Nasema na narudia kusema Tena, wakinga wanatukuzwa na kusifiwa na watu wenye chuki na Wachagga, wakinga wapo wachache sana kariakoo lakn wanavyosifiwa hatariiii! Wako dominant kwao Njombe (Tena wakiwa 50:50 na Wabena, mbeya Tena siyo dominant kihivyo, basii! Hao Wachagga wapo DSM, Moro, dodoma, singida, tabora, mwanza, Arusha, Moshi, Tanga nk! Ukisikia mtu anasifia wakinga muulize akutajie biashara kubwa 20 za wakinga hawezi, atakuambia maghorofa kariakoo lakn hawezi kuwa specific, kariakoo hata Waha wana maghorofa kule ila kwa kiwango kipi? Tukienda kwenye micro business karibu kila mji Tanzania Kuna maduka mengi mitaani ya mangis (dukani kwa mangi ni msemo maarufu, haukuja kwa bahati mbaya)
 
Back
Top Bottom