25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Ndio kusema wachanga wamewekeza kariakoo kuliko waarabu na waindi?hizi biashara zote ulizotaja hazifikii hata asilimia 2 za biashara za kariakoo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kusema wachanga wamewekeza kariakoo kuliko waarabu na waindi?hizi biashara zote ulizotaja hazifikii hata asilimia 2 za biashara za kariakoo mkuu.
Kama mzunguko ni mkubwa sio mbaya vocha bei ya jumla 950 kwa 475 kinacho angaliwa sio mtaji ulio tumia bali mzunguko wako wingi wa watejaMkuu mimi sitabishana sana na wewe cos tunazidiana ujuaji kuna unayoyajua wewe kuna ninayoyajua mimi lakini nakwambia kwa mfumo wanaoenda nao Wakinga wengi hawana guarantee ya kudumu sokoni miaka 10 labda kama wataamua kuwa wapiga winga.
Ninae rafiki yangu wa Kikinga ameukimbia mji na madeni juu kwa mambo haya haya ya kuweka faida 1,000/=,2,000/=,mtu unauza box umeinunua 62,000/= unauza 64,000/= faida 2,000/= hujatoa receipt ya kueleweka anakutana na tra unaandikiwa penalty 3mill au rushwa 800K utegemee kudumu sokoni?
Uza vingi kwa bei ndogo kwa sababu umeviingiza mwenyewe siyo mtu ni vendor utake kushindana na ma-giant sokoni utang'atwa tu.
Wakinga wanatamba njombe makete mbeya ruvuma iringa kuna asasi dar kariakoo wakinga bado wageniKumbe hazifiki hata 2%, basi nimetaja za Wachaga tu kati ya hizo 98% zilizobaki kama unavyodai taja za Wakinga tu nyingine ziache. Taja hata nusu ya biashara za Wakinga na majina yao si umeanzisha uzi kwa akili timamu
HatariKariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi
ELECTRONICS
Manufacturer and supplier
rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics
MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma
BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10
HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa
HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Nakumbuka nolikuunganisha na binamu yangu anafanya biashara ya vipodozi masasi anadai amekucheki WhatsApp ukamjibu kiingereza akaghairi
Mbon ndugu zao wanapambana kuja Dar especially dada zao km wao wamejazana Guangzhou ? Acha kutupanga usitufanye hatuwajuiWakinga ndio jamii ya watanzania waliojaa zaidi Guang Zhou,
Nyoosha tu mikono juu km una data zako weka hapa km alivyofanya mwenzako huna basi weka Taulo Chini,hizi biashara zote ulizotaja hazifikii hata asilimia 2 za biashara za kariakoo mkuu.
Mkuu huyu vunja bei ametolewa na mchagga mmoja mwenye maduka ya frank knows mkuu kuna mchagga mwingine anaitwa Edward Shayo mwenye East African Brothers engineering Ltd yenye tender nchi za kuinstall na kufanya service na ana duka la kuuza vifaa vya ac na mifumo yote ya hewa nmb,crdb,nsssf,bot,akiba bank,tra nk na ndio agent wa elsweed Ltd ya misri yenye kiwanda kigamboni.Yule Vunjabei si mkinga yule anawawakilisha, ila nimevutiwa na huyo mangi kaoa mchina...teh.
Mkuu kuna wachagga kariakoo wanaitwa G 7 walianzisha chama cha kufa na kuzikana kikawa na hela nyingi sana baadaye wakibadilisha kikawa mpaka na mambo ya loans na uwekezaji sasa hivi kujiunga ni million 20tsh na ada kwa mwaka ni zaidi ya million 50tsh ndio wenye mwenge social hall na wedding halls za kutosha sinza na kimara wamejenga nyumba za kufanana bagamoyo ndio wanatakuamia,wana hospitali morogoro,coasters za special hire za kutosha,viwanja vingi hapa mjini hawa jamaa wengi ni wakibosho mkuuAisee sio kwa huu mkeka. Umetisha Boss
Mkuu kuna wachagga kariakoo wanaitwa G 7 walianzisha chama cha kufa na kuzikana kikawa na hela nyingi sana baadaye wakibadilisha kikawa mpaka na mambo ya loans na uwekezaji sasa hivi kujiunga ni million 20tsh na ada kwa mwaka ni zaidi ya million 50tsh ndio wenye mwenge social hall na wedding halls za kutosha sinza na kimara wamejenga nyumba za kufanana bagamoyo ndio wanatakuamia,wana hospitali morogoro,coasters za special hire za kutosha,viwanja vingi hapa mjini hawa jamaa wengi ni wakibosho mkuu
ni uchawi na ndagu. na hivyo hivyo unavyowaona hawana miaka mingi ya kuishi, wanaishi muda mchache ila kwa pesa ndefu.Hapo zamani wafanyabiashara wengi wakifika kariakoo kujumua / kufunga mizigo kwajili ya kwenda kuuza mikoani ama nchi zilizotuzunguka walifikia maduka makubwa ya wachaga na wapemba ukiachana na wenye asili ya asia,
Kwa sasa hali ni tofauti maana jamii ya wakinga wanamiliki share kubwa ya soko la kariakoo katika biashara,
wamefikia stage ya kuweza mpaka kumiliki magorofa kibao ya Kariakoo wanayofanyia biashara na kukodisha wengine.
Ni mbinu zipi hasa zimewafanya wakinga wawe wafalme wapya wa kariakoo.
Kwangu mimi nijuavyo ni kwamba Wakinga ndio jamii ya watanzania waliojaa zaidi Guang Zhou, Huu ni mji wa China ambako kuna viwanda vingi, maduka kibao ya kujumua kwa bei chee na muhimu kuzidi vyote kuna Bandari, Wakinga wamejaa sana katika huu mji kiasi kwamba wamepata uzoefu mkubwa na channels za ku deal na Wachina.
Silaha yao kuu hapa ni kununua bidhaa kwa bei za chini, kuzisafirisha kwa bei ya chini kwa kukodisha meli za wachina na pia nao wanauza kwa faida kidogo, sisi wateja kama kawaida yetu huwa tunapenda machimbo ya bei rahisi.
Na sio kimoja mkuu mfano kuna hichi cha watoto wa miaka ya 80s na 90s kinaongozwa na lampard electronics nacho ni hatari yuhu is just in his 30s lkn tiyari ana nyumba k/kooNimewahi kusikia hicho chama ila sikuwahi kujua kiundani. Sasa watu kama hawa ni ngumu kufilisika maana akianguka mmoja ni rahisi kupata back-up.
WapareHawa ni Wachagha.
Labda kama utakuwa unataka battle ila hao jamaa ni Wamachame wanatokea sehemu inaitwa Masama.Wapare
Basi ntakuwa nimechanganya mafaili ila huyo mbunge wa kibaha mwenye ako catering nampigia saluti maana yupo geita analisha wafanyakazi wote wa ggm.Labda kama utakuwa unataka battle ila hao jamaa ni Wamachame wanatokea sehemu inaitwa Masama.
Na nimewahi kuwa nao karibu wanaongea Kimachame halisi siyo cha kujifunza.