Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

Kwa sisi kwetu,walikuwa wanongoza kwa biashara ya nguo wachaga,Ila kunakipindi wakaingia wasukuma aixee wachaga walipata tabu Sana,maana wao wanauza Bei ya chini kwa faida ndogo,walikuwa wanapigwa Sana na tra, Ila bado wapi tu nilichokijua ni kwamba wao ikifika msim wanavuna mpunga wanauza,wengine wanauza ng'ombe wanakuja kujaza dukan,je unaweza kushindana nae? Hasa km wewe chanzo no kimoja? So unachotakiwa ni kuwa na pumzi msubiri mpaka afirisike maana biashara haijui huyo(sitataja mkoa husika)
Wakinga k/koo wako kwenye biashara ya nguo tu lkn tofauti na wachagga ambao wapo kwenye hardware,vipodoz,chuma,magorofa,phone accessories na used phone from Dubai na us hii ni biashara kubwa sana ss hivi k/koo,eletronics,viatu,vitenge,autospares,bodaboda,rangi hotels,bars, mighawa, vinywaji vya jumla wakinga ni wachache Sana ukilinganisha nao jamaa
 
Basi ntakuwa nimechanganya mafaili ila huyo mbunge wa kibaha mwenye ako catering nampigia saluti maana yupo geita analisha wafanyakazi wote wa ggm.
Koka ni habari nyingine mkuu kuanzia mahotel,real estate,icd,viwanda,logistics,tours,insurance,micro finance,kiwanda cha kutengeneza luku anachukua tenda za rea analisha trend ya mwendo Kasi,rufiji,bandari,majeshi na vodacom,sigara,banks na sehemu mbalimbali tz
 
Duh si mchezo
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi

ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics

MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma

BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10

HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa

HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Umejitahidi kuorodhesha. Mwandiko wa bata. Hariri ili ueleweke vizuri.
 
Koka ni habari nyingine mkuu kuanzia mahotel,real estate,icd,viwanda,logistics,tours,insurance,micro finance,kiwanda cha kutengeneza luku anachukua tenda za rea analisha trend ya mwendo Kasi,rufiji,bandari,majeshi na vodacom,sigara,banks na sehemu mbalimbali tz
Ongezea na hii
Barrick (Bulyanhulu na North Mara mines) analisha yeye mtoto wake ndo yule kelvin
 
Duh si mchezo
Kuna huyu jamaa yuko Gerezani Kariakoo karibu na Florida anaitwa Edward shayo owner wa east Africa brothers engineering Ltd tenda za kuinstall,kuservices,renovation ac,ventilation system crdb,nmb,tra,nssf,vodacom,tigo,songs,dhl pia waarabu wa missing elsweedy wamempa tenda kama agent wa vifaa vya umeme nchi nzima
 
Ma-mangi wajanja wajanja sana kwenye business.
Nlikuwa naongea na mfanyabiashara wa viatu narungombe huwa anachukua oda kutoka mikoani anasema oda anazopokea ni za hao hao wachagga kutoka mikoa tofauti mkuu hata soko la mitumba la karume chakushangaza wengi ni wachagga kuna jamaa anaitwa Osama ana shusha mpaka kotena ishirini kwa mwenzi au white anayeshusha kadenti mtumba na ndio maaana serekali huwa wanalipinga moto kila Mars kuwarudisha juma vita ni kubwa sana lkn watavuka tu
 
Na sio kimoja mkuu mfano kuna hichi cha watoto wa miaka ya 80s na 90s kinaongozwa na lampard electronics nacho ni hatari yuhu is just in his 30s lkn tiyari ana nyumba k/koo

Aisee safi. Nilikuwa inspired sana na The Boys Club ya kenya ya kina The Late Bob Collymore. Ni muhimu vijana kuwa waaminifu na kujiunga kwenye vikundi kama hivi. Nia ikiwa moja ni rahisi sana kufanikiwa. Na wabongo tusivyo waaminifu ni common kusikia mtu kakimbia na ada au membership fee [emoji23]
 
Hawa jamaa wana ushirikiano sana wako kama watoto wa mama mmoja mind set yao kuhusu maisha iko mbali sana miaka kadhaa ijayo kibosho itakuwa kama Beverly hill carlifonia wanajenga mijengo ya maana sana uko migombani
 
Kuna tajiri mmoja amchafuliwa sana hku jf anaitwa primi mushi huyu kwamba amechukua nyumba ya familia yakina bingwa kwa dhuluma kumbe jamaa ndio alikopa kwa mushi akashindwa kurudisha mkopo mushi kachukua nyumba 7 floors, nyamwezi na narungombe,wapemba wamemchukua hadi kwa Samia jamaa anaulizwa mushi anakudai kashindwa kujibu mushi kakabidhiwa nyumba rasmi na kachukua nyumba bingwa nyingine sinza mungabe mushi ni kati ya watu wenye nyumba nyingi hapa mjini ni mfanyabiashara mkubwa wa vitenge
 
Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi

ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics

MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma

BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10

HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa

HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Duuh...Mzee Una data za kutoshaa sio poa...ma tighter wengi wa Kariakoo unawafaaamu...

Mr Uk Electronics kwa kukusaidia pia ni ya Mzee Profil Massawe...anaandagaa Sana Mr Uk Marathon...plus biashara zake nyingi na magorofa hapo Kariakoo
Rising sure A.Kimbori..nk
 
Back
Top Bottom