Pre GE2025 Mbio za Magari kumpokea Rais Samia Arusha, Sherehe za Siku ya Wanawake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi hayo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sherehe za Siku ya Wanawake zinatarajiwa kufanyika tarehe 8 siku ya Jumamosi ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye Mgeni rasmi wa shughuli hii.



 
Kiukweli Konda Boy na Arachuga,ni kipele kimepata mkunaji!。
P
 
Huyu hana pa kwenda zaidi ya Arusha?
 
Rais mwenye akili ujikita kwenye shughuli za maendeleo ya kweli siyo matamasha na michezo zaidi ...watanzania tumepata hasara kubwa sana kwa huyu shetani bushiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…