Pre GE2025 Mbio za Magari kumpokea Rais Samia Arusha, Sherehe za Siku ya Wanawake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huenda Mama atatumia maadhimisho hayo kumaliza Ugomvi wa RC na MP!
Sujui kama kuna mtu atakumbatiwa hapo!
 
stop negatism na negativity,be positive na positivism!。
P
Haya maisha yanabadilika sana, sikudhani hata siku Moja wewe Mzee unaweza ukawa chawa wa Gavoo kwa namna ya heshima uliyo itengeneza katka Tasnia ya habari hakika ilifaa iigwe na kila mtu. Unfortunately umegeuka unajua heshima yako
 
Mleta mada umepokea Matuc mangapi ya wachoma mabango ya Samia hadi sasa?
 
Tangia napata akili ya kupiga kura , sikuwahi ona mgombea anaelazimisha kete za kukubalika na watu wake kama mgombea wa ccm wa mwaka huu,ni bahati mbaya no reforms no election aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…