Mbio za magari(Rally) na Subaru

Hata legacy B4 mkuu yani EJ20 ya subaru sekunde kadhaa tu unamaliza kisahani...
 
Mimi naikubali Skoda Fabia,kama ile anatumia Manvir Baryan kwenye mashindano ya ARC Rally championship..
 
Kapteni Michael Maluwe na David Matata mkuje na huku kwa GT kutoa somo!
 
Sedan za Mmarekani zenye powerful za kufa mtu, mara nyingi huwa ni milango mitatu...wakali wa kutoa muscle cars ni chevrolet (camaro), dodge (challenger/charger) na ford (mustang).
muscle cars ni zenye mainjini makubwa, unakuta gari ni V8 la cc6000 af ni coupe tu.
 
Toleo za Subaru huyo Forester yuko nyuma ya Imprezza na Legacy kwa kuchanganya mapema.
Wakati Forester akitumia sekunde 7 kufika 100Km/h
Legacy anatumia 5.8
Imprezza Wrx anatumia 5.6
Imprezza Wrx Sti anatumia 4.7
Kwahio Sprint timeframe ya Forester ni Technically slow sawa tu na ma Toyota mengi ambayo ni 2L+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…