Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hata legacy B4 mkuu yani EJ20 ya subaru sekunde kadhaa tu unamaliza kisahani...Subaru zenyewe hasa Subaru Impreza imetengenezwa kwa ajili ya Rally by Default. Kwa mfano Subaru WRX. Abbreviation WRX ni "World Rally eXPerimental" hivyo utaona mtengenezaji kaipa hilo gari jina la Mashindano tangu Kiwandani. Ukweli ni kuwa hata Subaru Forester,linachanganya mapema kukiko gari nyingi za Toyota,hivyo Kampuni ya Fuji Heavy Industries ambayo ndiye mtengenezaji wa Subaru Models(pamoja na ndege na silaha/vifaa vingine) amejijengea heshima kwa kutengeneza gari zenye uwezo mkubwa.