Mbio za magari(Rally) na Subaru

Mbio za magari(Rally) na Subaru

Subaru zenyewe hasa Subaru Impreza imetengenezwa kwa ajili ya Rally by Default. Kwa mfano Subaru WRX. Abbreviation WRX ni "World Rally eXPerimental" hivyo utaona mtengenezaji kaipa hilo gari jina la Mashindano tangu Kiwandani. Ukweli ni kuwa hata Subaru Forester,linachanganya mapema kukiko gari nyingi za Toyota,hivyo Kampuni ya Fuji Heavy Industries ambayo ndiye mtengenezaji wa Subaru Models(pamoja na ndege na silaha/vifaa vingine) amejijengea heshima kwa kutengeneza gari zenye uwezo mkubwa.
Hata legacy B4 mkuu yani EJ20 ya subaru sekunde kadhaa tu unamaliza kisahani...
 
Mimi naikubali Skoda Fabia,kama ile anatumia Manvir Baryan kwenye mashindano ya ARC Rally championship..
 
Kapteni Michael Maluwe na David Matata mkuje na huku kwa GT kutoa somo!
 
Maclaren umemsahau 😜
Super Sport Car ni zile gari zenye speed kubwa kama Bugatti,Lamborgini,Ferrari.
Image 2019-09-21 at 6.42.44 PM.jpeg
 
Sedan za Mmarekani zenye powerful za kufa mtu, mara nyingi huwa ni milango mitatu...wakali wa kutoa muscle cars ni chevrolet (camaro), dodge (challenger/charger) na ford (mustang).
muscle cars ni zenye mainjini makubwa, unakuta gari ni V8 la cc6000 af ni coupe tu.
 
Toleo za Subaru huyo Forester yuko nyuma ya Imprezza na Legacy kwa kuchanganya mapema.
Wakati Forester akitumia sekunde 7 kufika 100Km/h
Legacy anatumia 5.8
Imprezza Wrx anatumia 5.6
Imprezza Wrx Sti anatumia 4.7
Kwahio Sprint timeframe ya Forester ni Technically slow sawa tu na ma Toyota mengi ambayo ni 2L+
 
Back
Top Bottom