Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili, Udhalilishaji pamoja na wanawake na wazee ili kuleta jamii yenye maadili mema.
Kampeni hii itaendana na Marathon itakayoshirikisha Washiriki 20,000 kutoka Bara na Visiwani, ikiwa na mpango wa kukusanya Tsh. Milioni 650 zitakazotumika katika utekelezaji wa kampeni hiyo katika viwanja vya Mao
Pia soma:~ Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums
~ Zanzibar: Kampeni ya kupinga ukatili na udhalilishaji kwa Watoto, Wazee na Wanawake kuanza Desemba 14, 2024