Hope sasa mwanga umeanza kukuona baada ya kipigo cha Spurs ngoja jumamosi hii tuwalaluwe na Mancity ndiyo watutambue.The blues hapa
Kwa upande wangu mechi mbili zinazofata, ya spurs na man city ndo zitatupa uelekeo sahihi wa ubingwa, kwa sasa tupo vizuri sana.
Nakushauri tembelea mtandao wa Chelsea club (www.chelseafc.com) usome mtazamo wa Conte pamoja na wachezaji kuhusu mechi dhidi ya Man City jumamosi 3/12/2016.Hope sasa mwanga umeanza kukuona baada ya kipigo cha Spurs ngoja jumamosi hii tuwalaluwe na Mancity ndiyo watutambue.
Yap ndg yangu kiuchambuzi ni lazima uweke ushabiki pembeni ila liver next 3 match atayumba sana sio kidogo kutokana kumkosa jeshi countinyo hata jana mpira wameshinda kwa bahati sanaKweli wewe umeweka ushabiki pembeni kiukweli Liverpool, Chelsea na Mancity binafsi naona hizi team tatu ni likely kuwa mabingwa wa EPL.
Liverpool km Arsenal tu wakikosa mtu mmoja wanayumba mnoYap ndg yangu kiuchambuzi ni lazima uweke ushabiki pembeni ila liver next 3 match atayumba sana sio kidogo kutokana kumkosa jeshi countinyo hata jana mpira wameshinda kwa bahati sana
HahahahaaaaaaLiverpool km Arsenal tu wakikosa mtu mmoja wanayumba mno
Subiri hazard akosekane utaelewa tuLiverpool km Arsenal tu wakikosa mtu mmoja wanayumba mno
HakamatikiNi nani wa kumsimamisha chelsea mbio za ubingwa msimu huu????