Mbio zetu English Premium League (EPL) 2016/2017

Mbio zetu English Premium League (EPL) 2016/2017

The blues hapa
Kwa upande wangu mechi mbili zinazofata, ya spurs na man city ndo zitatupa uelekeo sahihi wa ubingwa, kwa sasa tupo vizuri sana.
Hope sasa mwanga umeanza kukuona baada ya kipigo cha Spurs ngoja jumamosi hii tuwalaluwe na Mancity ndiyo watutambue.
 
Hope sasa mwanga umeanza kukuona baada ya kipigo cha Spurs ngoja jumamosi hii tuwalaluwe na Mancity ndiyo watutambue.
Nakushauri tembelea mtandao wa Chelsea club (www.chelseafc.com) usome mtazamo wa Conte pamoja na wachezaji kuhusu mechi dhidi ya Man City jumamosi 3/12/2016.
Kiufupi anasema, the game against City will be a stiff examination!
 
Kweli wewe umeweka ushabiki pembeni kiukweli Liverpool, Chelsea na Mancity binafsi naona hizi team tatu ni likely kuwa mabingwa wa EPL.
Yap ndg yangu kiuchambuzi ni lazima uweke ushabiki pembeni ila liver next 3 match atayumba sana sio kidogo kutokana kumkosa jeshi countinyo hata jana mpira wameshinda kwa bahati sana
 
Yap ndg yangu kiuchambuzi ni lazima uweke ushabiki pembeni ila liver next 3 match atayumba sana sio kidogo kutokana kumkosa jeshi countinyo hata jana mpira wameshinda kwa bahati sana
Liverpool km Arsenal tu wakikosa mtu mmoja wanayumba mno
 
Kiukweli chelsea msimu huu tunahasira za kufa mtu, Liverpool Arsenal chukueni tahadhari hatutaki ujinga tena.
 
Ni nani wa kumsimamisha chelsea mbio za ubingwa msimu huu????
 
Mbio za Epl zinazidi kupamba moto huku MAN U ikibaki mtaa wake ulele, Chelsea wakizidi kuelekea kileleni washika gobore hoi mpaka mwenye rungu anawatia mkong'oto pia pole majogoo wa jiji la LIVEPOOL kwa kushindwa kupanda mlima. Man City denied home utabiri unaelekea kudhihirika.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom