Mbio zetu English Premium League (EPL) 2016/2017

Mbio zetu English Premium League (EPL) 2016/2017

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Kama ambavyo UZI huu unasomeka kwenye kichwa cha habari, naomba uwe maalum (stick thread) kwa mashambiki wa mpira wa timu zote za Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kukutana, kwa lengo la kujuzana, kusengenyana, kutabiri bingwa na kuchambuana kuhusu mwenendo wa timu zetu hasa timu zifuatazo:-

Manchester United FC
Liverpool FC
Arsenal CF
Chelsea FC
Manchester City FC.
Tottenham FC.
Leicester FC.
Everton FC.
west Ham FC.

Natambua uwepo wa timu nyingine zenye ushindani kwenye EPL naomba kwa ruhusa yenu nitaje chache hapo juu. Uzi huu utatoa utabiri wa kiufundi na kiushabiki kuelekea ubingwa wa EPL mwakani.

Niwaombe radhi sana, wale wapenzi wa ligi zingine kama Bundesliga, Laliga, Serie A na Ligi 1, ata ligi kuu ya vodacom Tanzania bara, natambua uwepo wa ligi hizi ila niwaombe tutoe fursa kwa EPL tu.

Mwisho nitangaze interests kabisa kuwa mimi ni kijana wa darajani (The Blues) asiyependa chelseae ajiandae kuwa adui wangu [emoji41] [emoji41].

-ANGALIZO-
Hapa hatufichi hisia zetu km wewe timu fulani jiacheni tu.

Karibu sana.. Watani zangu
Mashetani.[emoji83][emoji83][emoji84][emoji84].
The gunners [emoji379] [emoji379] [emoji379].
Majogoo [emoji239] [emoji239] [emoji239] .
Kwa kutaja wachache itifaki itakuwa imezingatiwa..!
 
Msimu uliopita Yokohama alihama na ushindi wetu mwaka huu walie tu, namshukuru kocha kwa kusikiliza maoni yetu na kumpa Victor namba matokeo tunayaona Victor ndiye anaendana na mfumo wa conte, watu wengi wanaongelea hazard, Costa,cante Mimi shujaa wangu ni Victor.
 
Kiukweli Victor moses sasa hivi ni shujaa wetu..
 
hizo timu zote ulizozitaja zina uzi wake hapa.............na watu wanataniana kwenye majukwaa husika.
ushauri wangu na si sheria..........tungetafuta uzi husika wa kila timu .
 
hizo timu zote ulizozitaja zina uzi wake hapa.............na watu wanataniana kwenye majukwaa husika.
ushauri wangu na si sheria..........tungetafuta uzi husika wa kila timu .
Sasa nyuzi zinahusianaje huku??? Ebu fikiria vizuri wewe ulichoona hapo ni majina ya team tu?? Hapa naelewa sana hizo nyuzi za team, na mara nyingi zimejumuisha watu wa team husika, hapa ni mbio za kuwania ubingwa wa EPL kazi kubwa ni kutabiri kupigana vijembe kwa mashbiki wa team zote. Na siyo kwa league zote bali maalum kwa EPL hapa ata mimi huko nipo ila tunanogesha kivyetu kiushabiki na kiushangiliaji majungu, masengenyo udaku wa kabumbu vyote hapa.

Sisi hapa changanyikeni anayetaka unazi au anaogopa kushambuliwa na masengenyo ya kimpira atimue mapema.
 
Sasa huzi zinahusianaje huku??? Ebu acha upuuzi wewe ulichoona hapo ni majina ya team tu?? Hapa naelewa sana hizo team hapa ni mbio za kuwania ubingwa wa EPL kazi kubwa ni kutabiri kupigana vijembe kwa mashbiki wa team zote. Na siyo kwa league zote bali maalum kwa EPL hapa ata mimi huko nipo ila tunanogesha kivyetu kiushabiki na kiushangiliaji majungu, masengenyo udaku wa kabumbu vyote hapa.

Sisi hapa changanyikeni anayetaka unazi au anaogopa kushambuliwa na masengenyo ya kimpira atimue mapema.
aiseee .......
 
Hapana kuna kijineno nimekatumia ili kakutie uchungu(upuuzi) ila nimetengua kauli nimekaedit [emoji120] [emoji120]
nami ndilo nililonifanya nikudharau..............na kwa akili yangu ndiyo maana nika comment ''aisee''.........ili tuishie hapo.
 
nami ndilo nililonifanya nikudharau..............na kwa akili yangu ndiyo maana nika comment ''aisee''.........ili tuishie hapo.
Ukinidharau mie unajichosha bure, shida niliona umekurupuka ukusoma na kuelewa dhamira ya uzi.! Naomba nikutambue bila shaka MAN U, itakuwa si kosa lako stress tu..[emoji12] [emoji12]
 
Mimi pia ze Bluz damu-damu ila kuota ushindi muda huu ni kudhihirisha mahaba yaliyopitiliza. Bado ni mapema sana!
Acha uoga wewe mwisho utamwogopa ata Asernal kisa alitupiga sie true colour (bluueez)
 
Ukinidharau mie unajichosha bure, shida niliona umekurupuka ukusoma na kuelewa dhamira ya uzi.! Naomba nikutambue bila shaka MAN U, itakuwa si kosa lako stress tu..[emoji12] [emoji12]
sawa.................
 
Back
Top Bottom