bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Kama ambavyo UZI huu unasomeka kwenye kichwa cha habari, naomba uwe maalum (stick thread) kwa mashambiki wa mpira wa timu zote za Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kukutana, kwa lengo la kujuzana, kusengenyana, kutabiri bingwa na kuchambuana kuhusu mwenendo wa timu zetu hasa timu zifuatazo:-
Manchester United FC
Liverpool FC
Arsenal CF
Chelsea FC
Manchester City FC.
Tottenham FC.
Leicester FC.
Everton FC.
west Ham FC.
Natambua uwepo wa timu nyingine zenye ushindani kwenye EPL naomba kwa ruhusa yenu nitaje chache hapo juu. Uzi huu utatoa utabiri wa kiufundi na kiushabiki kuelekea ubingwa wa EPL mwakani.
Niwaombe radhi sana, wale wapenzi wa ligi zingine kama Bundesliga, Laliga, Serie A na Ligi 1, ata ligi kuu ya vodacom Tanzania bara, natambua uwepo wa ligi hizi ila niwaombe tutoe fursa kwa EPL tu.
Mwisho nitangaze interests kabisa kuwa mimi ni kijana wa darajani (The Blues) asiyependa chelseae ajiandae kuwa adui wangu [emoji41] [emoji41].
-ANGALIZO-
Hapa hatufichi hisia zetu km wewe timu fulani jiacheni tu.
Karibu sana.. Watani zangu
Mashetani.[emoji83][emoji83][emoji84][emoji84].
The gunners [emoji379] [emoji379] [emoji379].
Majogoo [emoji239] [emoji239] [emoji239] .
Kwa kutaja wachache itifaki itakuwa imezingatiwa..!