Tetesi: Mbivu na Mbichi ya CUF kujulikana Jumanne Saa nne kamili asubuhi

Tetesi: Mbivu na Mbichi ya CUF kujulikana Jumanne Saa nne kamili asubuhi

Na wewe sik
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kutangaza ofisi yake inamtambua uongozi upi ndani ya CUF

Mytake

Tukumbuke Uchaguzi wa Cuf ulishafanyika na Mtatiro ndio Mwenyekiti figisufigisu hazitafa
Na wewe siku hizi umekuwa kanjanja, ule ulikuwa uchaguzi wa mwenyekiti? Mtatiro amewekwa na mkutano wa balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda tena Zanzibar! Upo hapo?
 
Vyama vingi vya Tanzania ni mamluki, hakuna upinzani wa kweli, wapinzani wa kweli walishapotea/potezwa mf: K malima, H kolimba, P babu Nk. Hawa wengine hakuna ni kudanganya wananchi kwa maslahi yao, ndio maana mi nimeamua kuwa mfuasi wa serikali tu....
 
Mwenyekiti wa CUF anawekwa/kuteuliwa na mkutano mkuu wa taifa. Mtatiro amewekwa na balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda. Hiyo ni katiba ya cuf. Hahaahahaha soma vizuri. Lipumba bado mwenyekiti!
Hivi unaweza kuandika barua kujiuzulu na ukakaa nje ya ofisi mwaka halafu ukarudia tena nafasi yako kisa haijajazwa? Funguo alimpa nani? Ukiandika barua hiyo kujiuzulu na uongozi usipokurudishia majibu mwaka unaruhusiwa kurudi na kutengua barua yako? Jamani maajabu haya Tanzania
 
Kwenye uenyekiti lipumba asahau kabisa , Labda lile karatasi la uanachama , lile linaloitwa kadi anaweza kubaki nalo kwa Muda , Taarifa nilizonazo ni kwamba ofisi ya msajili inatambua kwamba alijiuzulu .
 
Huyu jaji ni aina tatizo tulilona hapa Tz . Tumemuona na matamko yake kipindi cha UKUTA akidanganya kuitisha mikutano ya upatanishi lakini akaishia kuwaacha waTz pale alipoamuriwa na Ccm kuwatelekeza. Sasa kadandia suala la mtu aliyacha uongozi kwa hiyari yake ? Ili awakoroge CUF

WaTz siku wakijithamini hawatachezewa na watu aina ya sijui jaji nani
 
Na wewe sik
Na wewe siku hizi umekuwa kanjanja, ule ulikuwa uchaguzi wa mwenyekiti? Mtatiro amewekwa na mkutano wa balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda tena Zanzibar! Upo hapo?
umesema tena zanzibar kwani zanzibar sio mahala sahihi kwa kufanyika mkutano wa baraza la uongozi.
 
baraza kuu la cuf lina uwezo wa kujaza nafasi yoyote ya uongozi na kutoa taarifa kwa mkutano mkuu wa cuf . utakaoitishwa kulingana na kalenda ya vikao vya chama.
 
Back
Top Bottom