Hata kama Mtatiro ni Mwenyekiti wa muda , uko wapi uhalali wa Lipumba ? Huyu alijiuzulu mwenyewe tena akawadharau na kuwapuuza wote waliomuomba aachane na huo usaliti wake , wakiwemo Mashehe wanaoheshimika sana , video ya kauli zake imo humu jf .
Na nachukua fursa hii kumpa onyo Magdalena Sakaya , aachane na lipumba , atampoteza vibaya sana , lipumba ni msaliti na yuko kazini , huyu ndie Mtanzania pekee aliyefunguliwa mlango wa ikulu kwenda kumpongeza Magufuli kwa kushinda urais , ile haikuwa bahati mbaya , kwa muda mrefu tulimuonya Abdul Kambaya kukaa mbali na Usaliti wa Lipumba akakaidi , kilichompata mmekiona .
Mshahara wa dhambi ni mauti .