Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Na wewe siku hizi umekuwa kanjanja, ule ulikuwa uchaguzi wa mwenyekiti? Mtatiro amewekwa na mkutano wa balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda tena Zanzibar! Upo hapo?Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kutangaza ofisi yake inamtambua uongozi upi ndani ya CUF
Mytake
Tukumbuke Uchaguzi wa Cuf ulishafanyika na Mtatiro ndio Mwenyekiti figisufigisu hazitafa
Tafuta katiba ya Cuf soma vizuriNa wewe sik
Na wewe siku hizi umekuwa kanjanja, ule ulikuwa uchaguzi wa mwenyekiti? Mtatiro amewekwa na mkutano wa balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda tena Zanzibar! Upo hapo?
Mwenyekiti wa CUF anawekwa/kuteuliwa na mkutano mkuu wa taifa. Mtatiro amewekwa na balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda. Hiyo ni katiba ya cuf. Hahaahahaha soma vizuri. Lipumba bado mwenyekiti!Tafuta katiba ya Cuf soma vizuri
Baada pesa kuisha ndio amerudi?Mwenyekiti wa CUF anawekwa/kuteuliwa na mkutano mkuu wa taifa. Mtatiro amewekwa na balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda. Hiyo ni katiba ya cuf. Hahaahahaha soma vizuri. Lipumba bado mwenyekiti!
Labda kama ni mwenyekiti wa UWT.Mwenyekiti wa CUF anawekwa/kuteuliwa na mkutano mkuu wa taifa. Mtatiro amewekwa na balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda. Hiyo ni katiba ya cuf. Hahaahahaha soma vizuri. Lipumba bado mwenyekiti!
ajabu wanao furahia ni ccm! mnajua msajili atamtambua yupi? yule aliye jiuzuru akapewa ofa kwenda kupmzika kwa Kagame ? fedha kweli mwana haramu mara hii zimemwishia.Hapo hatumii wale wanao tumalizaga wanaume wakware.Baada pesa kuisha ndio amerudi?
hahahahaaaaaaaaa!! taratibu jamani hamjui kuwa huyo ni profesa.Labda kama ni mwenyekiti wa UWT.
Hivi unaweza kuandika barua kujiuzulu na ukakaa nje ya ofisi mwaka halafu ukarudia tena nafasi yako kisa haijajazwa? Funguo alimpa nani? Ukiandika barua hiyo kujiuzulu na uongozi usipokurudishia majibu mwaka unaruhusiwa kurudi na kutengua barua yako? Jamani maajabu haya TanzaniaMwenyekiti wa CUF anawekwa/kuteuliwa na mkutano mkuu wa taifa. Mtatiro amewekwa na balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda. Hiyo ni katiba ya cuf. Hahaahahaha soma vizuri. Lipumba bado mwenyekiti!
umesema tena zanzibar kwani zanzibar sio mahala sahihi kwa kufanyika mkutano wa baraza la uongozi.Na wewe sik
Na wewe siku hizi umekuwa kanjanja, ule ulikuwa uchaguzi wa mwenyekiti? Mtatiro amewekwa na mkutano wa balaza la uongozi kama mwenyekiti wa muda tena Zanzibar! Upo hapo?