Tetesi: Mbivu na Mbichi ya CUF kujulikana Jumanne Saa nne kamili asubuhi

Akuna kitu kibaya Kama usalati ila Leo Wana ccm wanataka LIPUMBA aendelee kuwa mwenyekiti CUF tangu lini CCM inaombea CUF mema ngoja tungoje msajili wa vyama aseme yake LIPUMBA kwa hili sizani kma ataibuka kidede YETU macho
 
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kutangaza ofisi yake inamtambua uongozi upi ndani ya CUF siku hiyo.

Mytake:

Tukumbuke Uchaguzi wa CUF ulishafanyika na Mtatiro ndio Mwenyekiti. Figisufigisu hazitafaa!
Hapa lazima kuwe na maelekezo
 
Ccm ina master plan ya miaka 100 mbele,haibatishi,Achana na nyie kina yahaya wa siasa.
Mipango inayo dumaza uchumi ili CCM itawale milele kwa gharama yetu?

Hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kutangaza ofisi yake inamtambua uongozi upi ndani ya CUF siku hiyo.

Mytake:

Tukumbuke Uchaguzi wa CUF ulishafanyika na Mtatiro ndio Mwenyekiti. Figisufigisu hazitafaa!
CUF wameshafanya uchaguzi wa mwenyekiti!!??
 
Ungetumia muda huo kumsuu yule aliyepokea 10b ,kwa kutoa nafasi ya kugombea uraisi baada ya kumtukana kwa miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…