Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hujajibu swali languKura za wasukuma pekee zaweza kukupa uraisi hata nchi nzima wakikunyima kura sababu ya ukubwa ya population yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali languKura za wasukuma pekee zaweza kukupa uraisi hata nchi nzima wakikunyima kura sababu ya ukubwa ya population yao
Katafute jibu kwingineHujajibu swali langu
Soma katiba ujue sifa za naibuTatu bora yangu ni
1. Tulia Ackson.
2. Andrew Chenge.
3. Stephen Masele.
Iwapo Tulia akipata uspika naibu wake ni Masele
Mkuu YEHODAYA , hatutafuti Spika wa kuongoza ibada wala kufanya matambiko, hivyo hakuhitajiki uwakilishi wowote wa dini wala kabila!Naatabiri watatu kuteuliwa ugombea uspika kupitia CCM ni Tulia Ackson,Masele na Azzan Zungu
Sababu wa kwanza Zungu kuwakilisha waislamu
Tulia kuwakilisha wakristo
Masele kuwakilisha Sukuma gang lililokabidhi kiti kwa Mama Samia wasukuma wengi wamechukua fomu mwakilishi wao atakuwa Masele
Akitokea mwenye makando kando, kama yanauthibitisho wowote, then akatwe, lakini mtu mwenye makandokando ya wivu, uongo, fitna na majungu tuu, kama atatupatia Spika Bora, twende naye.Hawa hawana makandokando yeyote akipata sawa
Hao ambao hawana makandokando, kama watatupatia Bora Spika, tupa kule!, Tanzania inahitaji Spika Bora na sio Bora Spika !. Kwenye hiyo list kuna Spika Bora mmoja tuu, the one and only !.Hao jamii haina mikashfa ya kuwatuhumu wakipitishwa hakutakuwa na miguno wala maneno maneno ya kuponda CCM ndani na nje
Siyo kila Msukuma anaweza kuwa kwenye hiyo gangIla kabila yake msukuma
Sasa ikawaje Msukuma mwenzao ategemee wizi wa kura ?Kura za wasukuma pekee zaweza kukupa uraisi hata nchi nzima wakikunyima kura sababu ya ukubwa ya population yao
Next time smoke a better quality weedKatafute jibu kwingine
Mkuu sasa hivi ndani ya Wakatoliki hapa pana Wakristu na wakristo.Mwakilishi wa Wakatoliki ni yupi hapo? Na Wasabato? Kumbuka hao siyo Wakristu kwa tafsiri ya walokole
Sofia Simba ashafulia hana hela yoyote, la sivyo angeshinda viti maalum mwaka janaChenge na mwenzie sofia watatumia nguvu ya pesa achilia mbali msukuma, tulia na steve watakaotumia mizizioloji.
Huyo wa chama cha upinzani nampa heko sana amedhubutu
Ndo tumefika hali hii ya kuangalia kigezo cha dini!Chenge ondoa huwezi jaza wakristo watupu au wasukuma wawili kwenye nafasi tatu chenge msukuma masele msukuma
Na huwezi weka wote wakristo watupu wote watatu muislamu lazima awemo
Haya mngewaachia Wafu wazikane Tu.Hii ndio taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Chama hicho Shaka Hamdu.
Taarifa zinaeleza kwamba kuahirishwa kwa kikao hicho kunatokana na kusambaratika kwa wajumbe wa kikao hicho kulikoibua Makundi yanayonyukana , huku kila kundi likitaka mgombea wake awe Spika ...
Huyo Dkt.Kashilila sio muumini wa haki na katiba.Hii ndio taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Chama hicho Shaka Hamdu.
Taarifa zinaeleza kwamba kuahirishwa kwa kikao hicho kunatokana na kusambaratika kwa wajumbe wa kikao hicho kulikoibua Makundi yanayonyukana , huku kila kundi likitaka mgombea wake awe Spika...
Subiri labda wanasubiri wakati wa uchaguzi wenyewe, si unajua hata mgombea huru anaruhusiwa....kinachoendelea sasa ni mchakato wa kupata mgombea atakaye wakilisha CCM, Chadema labda huwa hawana utaratibu kama huu!Kwa nini Chadema hawajapeleka mgombea uspika?