Basi nilichokitegemea kweli ndio kikawa skola ananipenda basi akawa ananiambia aende nyumbani nikamwachia ila nilitamani niendelee kumkumbatia alikuwa anavutia sana yeye ni mfupi kwangu basi nilivyokuwa nimemkumbatia alikuwa kalalia kifuani kwangu huku tukiwa tumesimama barabarani, giza hapo limeshaanza kuingia na barabarani hakuna wapitaji wengi sana sema maza ndie niliyekuwa namuogopa hata hivyo ilikuwa giza hawezi kutuona clearly akitokea hivyo tulikuwa huru namna flani
Nikamuuliza skola nakupataje? Akanirudishia swali kwani wewe ulitaje nikamwambia wewe ndiye uchague mda ambao wewe utaona upo free kwa maana mimi ni wakiume hivyo mda wowote nipo free(jambo ambalo sikweli, kwani kutoka kazini kizembe ni ngumu) akasema kesho saa10, basi nikamuachia akaenda
Kesho saa10 imeshafika naona kabisa mda hauruhusu kuondoka kazini nikasema labda nisubilie saa12 kweli saa12 ikafika nikaona liwalo na liwe naondoka, nikaondoka nafika kule napita ile round ya kwanza pale home kwao pamefungwa ile narudi round ya pili naowaona skola na maza ake wanataka wakatishe mbele yangu waende home mwanzo sikuwajua kwani skola alikuwa nyuma kabisa ila alivyotokea tu basi nikamvutia taswira huyu maza wa mbele ndio nikagundua maza ake
Nikastop kidogo ili kama skola hajaniona basi nigeuze tu kimyakimya nirudi home ile bado nafikilia nigeuze skola akaniona, mpaka hapo maza bado hajashtuka, basi ikabidi niongoze njia kwakua skola keshaniona, ikawa skola kulia maza kushoto katikati mimi kila huyo anaendelea na moving yake katika direction yake, skola akanambia ndio unakuja sahivi nikamwambia ndio (kwa kichwa pamoja na sauti huku tukitembea kila huyo uelekeo wake) basi akaninyoshea mkono kwa kutumia funguo uelekeo wa maza ake kuwa mama. Ikaniuma sikuwa na jinsi
Sasa wakati naongea na skola nilisahau kwa mda kama mama yake yupo yani nika concentrate sana kwa skola ili kama kuna maajabu yoyote afanye ili tuweze kukamilisha tulichokubaliana. Sasa ile narudisha ufaham namcheki maza nikama alikuwa anatuangalia mda mrefu, sikutaka kukutanisha nae macho kwa mda mrefu asije akanivutia kumbukumbu. Nikageuka chapu to heading my way ila nilipogeuka kwa kuibia nilimkuta bado ananiangalia. Sikujua skola walimwambia nini siku hiyo
Siku zikapita sijawahi kwenda kwao, siku moja ilikuwa ni game ya barcelona na atletico uefa first leg, nikaenda na mchizi wangu kucheki game ila kabla game haijaanza nikamshauli familia twende kwanza kwa skola, kweli tukaenda ile tunafika yale mazingira, dem akawa ametuona hapohapo akatengeneza mazingira ya kuenda dukani akaja mpaka tulipo simama akatupita hakuna aliyemsemesha mhuni akaniambia mfate,
Nikasema kweli?
Eeh mfate.
Nikaunga. Hii principle sikuijua kabla. kwani kuna kipindi tena skola aliwahi kufanya hivi hivi ila sikumfata alikoenda, ila leo kuongozana na mwana tu teali kashaanza kunipa code ndogondogo kama hizo, nikamfata skola nikamuona yupo dukani kisha akatoka akanza kurudi, sasa ameshaniona na yuko teali kunikabili akafika nikamsalimia akaitikia nikamwambia twende tupitue huku, yaani tuzunguke tukatokee alikoenda msela. Point ilikuwa ni tupate sehem nzuri ya kumpanga, siakakataa nikawa nimemshika mkono namlazimisha anakataa tupo kwenye chocho kuna mda pikipiki inakuja inamlika mwanga mkali namvuta namkumbatia ili asionekana pengine huyo ni mwenye pikipiki ni mjomba yake unajikuta umejaa kwenye mfumo. Nilimlazimisha lakini alikataa. Alikuja akanambia kwa kusisitiza nikajua kweli yupo serious nikamwachia.
Issue ikabaki naenda kumwambia nini familia nikawa natembea pole pole nafikilia cha kumwambia maana me nilitegemea nitoke nae huku niende nae mpaka kule afu tukifika kwa ande tuanze romance mbele yake. But mpaka nafika sikuwa na chakumwabia ila thanks god nilimkuta yuko busy na simu nikamtime tu kwa kumuuliza saivi saa ngapi? Akasema ndio imefika tu saa3, nilimaind sikutamani tena kuendelea kukaa kule.
Sina story wala nini nimetulia tu. maajabu ya musa, mbele ya macho yangu namwona skola anakuja upande wetu kumbe hata yeye alijua amenikwaza hivyo akaona lazima aje akafanya mpango wake huko akatoka, huyu hapa sasa niko nae. Kwa furaha nikamwambia ande, skola huyu apo mchizi akaniambia tu mfate akaendelea na mambo yake kwenye simu kweli nikamfata tena alikuwa anakuja upande wetu.
Hatua ya kwanza nikumkumbatia nikawa namkiss hivyo yeye katulia tu. typical kwangu waziwazi hisia zilishapanda na mashine ilishasimama nazaini aliisikia kabisa cause mimi mwenyewe niliiona ina reflect kabisa kwa mwili wake na vile mimi usiku nikitoka job huwa navaa track tu na nilisahau mashine kuipandisha huku juu kwenye kitovu cause skola mwenyewe aliyokea ghafla sana. Nikafikilia nimvue nguo absolutely nikaona ni impossible. Nikamuuliza tu kama kesho kuta kuwa na nafsi ili tutoke akanambia "yes"
Basi nikamuelekeza mazingira ya geto mahala flani akifika atakuwa ameshaniona majira yenyewe ilikuwa hiyohiyo saa10 kesho aje geto. Nikajiapia mwenyewe kesho iwe vua iwe jua lazima nitoke. Tukaaga kwa kumalizia kuwa.
Nakupenda skola. Nayeye akasema ananipenda pia.
Kiukweli mimi huwa na avoid kumwambia mtu jina langu moja kwa moja akilazimisha sana namwambia jina la uongo, atajua yeye mwenyewe huko mbele. Hivyo skola sikuwahi kumwambia jina langu
Itaendelea...