Mbona App yangu ya SMS imekuwa kama WhatsApp?

Hii ya siku nyingi tu, lamda kama huwa huitumii ndio umegundua sasa.

unaweza ukaunda grp la watu wengi ukituma mesejo moja tu inawafikia.

Hata zile meseji zinazotoka voda, tigo au airtel zote wameunda magrp
Kumbe. Basi ushamba wangu.
 
My favorite rival, punguza kiherehere ๐Ÿ˜†๐Ÿค’.
๐Ÿ‘‰ We ni fundi simu๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿค’
Umemkosea muulizaji.

Si kila simu ina utaratibu huo.

Mfano Samsung, unaandika msg katika kutuma unatik multiple #s unazotaka wapokee hiyo msg bila ya kutengeneza group.

Lakini simu kama Itel na nyingi za mchina, ukitaka kutuma msg moja kwa watu wengi zinakutaka utengeneze group.

Na ukisharusha hiyo msg, group hilo waweza kulifuta vile vile.
 
Ndio maana sikupendi๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
Nataka tu nijue ni simu zote au aina fulani ya simu ili nitupe hii tecno wereva yangu
Huni pendi๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, haya update sms app ya simu yako๐Ÿ˜†๐Ÿค’.
๐Ÿ‘‰ Features zime ongezeka, Afu antenna yangu Ina hitaji service ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜
 
Tuna Juana bhana, don't take it personally ๐Ÿ˜๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ