Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Yaani wanaudhi sana maana wengine tulilipia kifurushi sababu ya mpira sasa wametujeuka na mwezi ukiisha wanakata channel
 
Kisimbuzi uliniletea wewe ,jielewe wewe nimeacha kulipia dstv harafu wanaleta kero
Utv ni free chanel Afcon unaangalia bureeeeeee kabisa umelipia bei gan mkuu?
Wanaomboleza Azam media
 
Haya yalitokea kwa mengi kwa ruge watu hamkulalama...

Kweli ukifa fukala au hauna status ni tatizo...! Dunia ina vioja hii...!!
 
Azam,poleni sana kwa msiba. Ajali iliyotokea Igunga. Lakini mtaniwia radhi,pamoja na kusikitika sana na msiba huu,mlitakiwa Utv Mount she mpira, channel zingine ndio mngelia msiba. Huo siosiba wabtaifa, tumelipia king'amuzi tulikuwa na haja ya kuona mpira Utv.

Kutoonyesha mpirabhaimaanishi mmelia sanaaa msiba, sisi wenzenu tumefiwa sana lakini misiba huwa sio ya taifa. Wengine hapa tunapoandika ni yatima.

Jueni sio wote wanaolia,wengine walitaka kuona Afcon kwasababu tumelipia 28,,000 kwenye hulo luking'amuzi lwenu lwa kijinga. Sifuri kabisa.
 
Nivumilie nini mzee, watu tunataka kupunguza stress na mpira afu tunakutana na misiba,wanatukumbusha machungu ya misiba tuliyopitia.sio kila mtu atalia msiba wako,wengine wanahitaji furaha.
Ivory coast kashinda moja bila mkuu...
 
HLafu,wamezima KBC, UBC na Rwana Tv ambako wanaonyesha mpira, hivi wanafikiri kila mtu yupo msibani? Sisi ambao hatupo msibani ila tumelipia king'amuzi chao tucheki mpira hatuna haki? Si ujinga huu!
 
Naelewa sasa kwa nini Vodacom Tz mliletewa MD Mkenya tena mwenye shahada ya Lishe sijui mapishi.

Cowards everywhere,hivi mantiki ya kufungia channels zingine zinazoonesha mpira huwa ni nini hasa?

Hamtaki ushindani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…