Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki Rwanda tv ila situmii Azam kwa sasa nadhani bado wameipiga pin ila cheki Mali 0-0 ivorians
Utv ni free chanel Afcon unaangalia bureeeeeee kabisa umelipia bei gan mkuu?
Wanaomboleza Azam media
Ila ukijaribu kuvaa viatu vya wafiwa aisee!!!acha tu wasionyeshe.
Unaweza kufafanua vizuri mkuu?Msiba umekuwa ni target kwa jambo lililo nyuma ya pazia.
Unasema?Msiba umekuwa ni target kwa jambo lililo nyuma ya pazia.
Nivumilie nini mzee, watu tunataka kupunguza stress na mpira afu tunakutana na misiba,wanatukumbusha machungu ya misiba tuliyopitia.sio kila mtu atalia msiba wako,wengine wanahitaji furaha.Vumilia ndugu
Ivory coast kashinda moja bila mkuu...Nivumilie nini mzee, watu tunataka kupunguza stress na mpira afu tunakutana na misiba,wanatukumbusha machungu ya misiba tuliyopitia.sio kila mtu atalia msiba wako,wengine wanahitaji furaha.
😂😂😂😂😂Dstv mnafaidi sana,mswahili ni mswahili tu,akipata msiba anafikiri watu wote wanalia. Tuna uchungu lakini tulihitaji mpira