Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesema wapi?Azam wamesema kibali chao kimeisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tukio walilokuwa wanaenda kucover liliendelea. Msiba ni sawa kuomboleza. Wangeweza kufanya hivyo Azam 2 na mpira ukaendelea UTV. Waangalie wenzao wanafanyaje. Bahati mbaya akifa Director wao mmoja, watafunga station?Ina maana haujui kilichotokea kwa wanahabari wao 5.Wanaheshimu uhai wa mtu hata akifariki akiwa nao bado wanaendelea kutoa heshima zote kwao.Hongera Tido hongera Azam kwa kutambua hilo na poleni sana.Mlipofiwa wao waliendelea bila kujali na ni kazi yao vijana walikuwa wanakwenda kufanya.Ndivyo walivyo wala hatuwezi kuwazoe, tutawaambia tu ili wajue kuwa,Mwenzako akinyolewa,endelea kulowanisha za kwako.
Cha ajabu matamthilia yao yapo kama kawaida...na wanayapa kipaumbele kweliAZAM TV semeni neno watu wapone. Robo fainali zinaanza leo. Poleni na msiba maisha yanatakiwa kuendelea.
Na kama kuna tatizo jingine msitumie msiba kama kisingizio.
Mbona channels nyingine mmeziacha?
Watakata ikifika saa moja..labda waanze Leo kuachia.KBC wako hewan na game ya senegal
Na leo hawaonyeshi?Watakata ikifika saa moja..labda waanze Leo kuachia.
Ndio mkuu.Na leo hawaonyeshi?
Juzi niliwatetea ila kwa leo no. Wapuuzi sanaNdio mkuu.
Cha ajabu channel nyingine wanaonesha tamthilia zao kama kawaida.Juzi niliwatetea ila kwa leo no. Wapuuzi sana
Watakata ikifika saa moja..labda waanze Leo kuachia.