Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Azam wamesema kibali chao kimeisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ni kuwaendea mahakamani. Ndezi Kabisa hawa.
Msiba wote tunaomboleza lakini wajue ku top up kisimbuzi ni kuingia mkataba.
 
Tukio walilokuwa wanaenda kucover liliendelea. Msiba ni sawa kuomboleza. Wangeweza kufanya hivyo Azam 2 na mpira ukaendelea UTV. Waangalie wenzao wanafanyaje. Bahati mbaya akifa Director wao mmoja, watafunga station?
 
Ama wale deceased ndo walkua wahusika wa kurusha matches. ..
 
AZAM TV semeni neno watu wapone. Robo fainali zinaanza leo. Poleni na msiba maisha yanatakiwa kuendelea.
Na kama kuna tatizo jingine msitumie msiba kama kisingizio.
Mbona channels nyingine mmeziacha?
Cha ajabu matamthilia yao yapo kama kawaida...na wanayapa kipaumbele kweli
 
Kama inshu ni kutangaza kiswahili..wao wange switch audio iwe English sisi shida yetu ni picha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…