Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
403
Reaction score
814
Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani)



Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84 sawa na tshs 250,000 unanunua Jezi za Simba tano na chenji inarudi

Esperance uzi wake unatengenezwa na kampuni ya Kiitaliano iitwayo Kappa
Sasa najiuliza hii ulaya inakotengenezwa jezi ya Simba na kuja kuuzwa bei sawa na Jezi ya Yanga ni ulaya ipi? kwani Ulaya ziko ngapi? au ni Italia vijijini?
Souce Accessories | Sundowns FC Online Store
 
Hili swali umeelekeza kwa Mamelody au kwa Simba?. Eleweka kwanza mkuu!

Kama vipi tuwaulize Mamelody kwanini wananunua kofia kwa bei kubwa...itakua utakatishaji fedha 😂

Ponjoro wewe unaandika na kujijibu...yaani unasema jezi za Mamelody zina bei mbaya na sababu unatoa na bado unalinganisha bei na za Simba ...bila hiyo sababu jezi za Mamelody zingeuzwa bei gani?
 
Ni ulaya ya YUAN, TIANG
 
Hizo sasa ndio jezi OG ,jezi 45k ndio mnasema OG? Jezi tu za ulaya nyingi zinacheza kwenye kuanzia 300k+.Kwa kifupi jezi zetu zinatofautiana rangi ila quality zipo sawa au zinakaribiana.
 
Rudia kusoma post wewe slow learner
 
Unauza jezi Alf 32 unajiita timu kubwa Shame on you
 
Anajifabya anajua tu mambo mengine lkn Hana hoja kwa SSC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…